MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,695
- 7,874
Israel imeishirikisha Marekani taarifa za kiintelijensia zinazoonyesha kuwa Iran imesuka mpango mpya na mahususi wa kutaka kumuua Rais Donald Trump.
Ingawa Marekani imekuwa ikifuatilia vitisho mbalimbali hivi karibuni, onyo hili maalum kutoka Israel limeongeza taharuki kubwa, hasa wakati huu ambapo makubaliano ya kusitisha mapigano yakiwa shakani.
Baadhi ya maafisa wa Marekani wanahisi kuwa ripoti hiyo ya Israel inaweza kuwa mkakati wa kushawishi maamuzi ya Trump, wakati huu anapotafakari uwezekano wa kuongeza mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Iran.
Katika siku ya mwisho ya mazishi ya wiki nzima ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, umati mkubwa wa watu ulikusanyika huku wakinyanyua mabango yaliyoandikwa "tutamuua Trump."
Khamenei aliuawa katika mashambulizi ya kwanza kabisa za mzozo huo, hali inayofanya uhusiano kati ya Washington na Tehran kuwa wa wasiwasi mkubwa huku kukiwa na shinikizo kubwa la kulipiza kisasi.
============
Israel shared intelligence with the United States that Iran had recently devised a new plan to assassinate President Donald Trump, two sources familiar with the matter told CNN, adding another layer of tension as a ceasefire deal between the countries comes under strain.
One of the sources said the warning came this week. Another source said the US had picked up a steady drumbeat of intelligence in recent weeks about possible plans to assassinate Trump, but the warning from Israel was new and concerned a specific plot.
Other American officials suggested the Israeli report could be an effort to sway Trump’s decision-making as he weighs whether to intensify American military action against Iran.
The details of the plot that Israel warned about were not immediately clear, and two sources familiar with the matter said the US had not vetted it themselves nor were they tracking it before the Israeli warning. The US government has long warned that Iran may try to kill Trump in retaliation for the 2020 drone strike he ordered which killed a top Iranian general, Qasem Soleimani.
Source: CNN & Sky news