gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,511
- 18,043
Usihuzunike na kibamia chako cha msingi una mabilioniHizo habari za dudu ya Trump mm inanihusu nn?
Usihuzunike na kibamia chako cha msingi una mabilioniHizo habari za dudu ya Trump mm inanihusu nn?
Makobaz bhana 😂Hizo taarifa zinapikwa na MOSSAD, na aliyezipeleka ni Netanyahu majuzi alipokwenda kuonana nae..
MOSSAD wana uwezo wa kupika taarifa na wakaziwekea evidence kikubwa kuisukuma US kuivamia Iran...
Maana Israel inajaribu kila mbinu utawala wa Iran uanguke.. hata habari za Iraq ana silaha za nuclear ni Netanyahu alisema na Iraq ikavamiwa na hakukuwa na WMDs.
Israel itafanya lolote kuisukuma US kwenye huo ugomvi, maana ile vita iliyopita wamarekani waliikataa Israel na kusema wapambane na hali zao.
Kibamia changu kimefikaje hapa?Usihuzunike na kibamia chako cha msingi una mabilioni
Haiwezi kutokea...Makobaz bhana 😂
Nyie Subirini kipigo tuu, Acheni kulialia
Hata Maduro alisema haiwezi kutokea 😂Haiwezi kutokea...
Iran watafunga Strait of Hormuz, unaelewa madhara yake? ni makubwa , bei ya mafuta na gas itapanda haijapata onekana...Hata Maduro alisema haiwezi kutokea 😂
Hata yule rais wa Iran ambaye Israel walipita na roho yake kwenye helikopta alisema haiwezi kutokea
Hata kobaz mwenzako Osama nae alisema haiwezi kutokea
SIKIA: Kuwepo tu kwenye daftari la mahudhurio la Jeffrey Epstein's Island ni ishara tosha kuwa Trump ni zaidi ya mjinga!Haya sasa tupate uchambuzi wa masuala ya vita za kimataifa kutoka kwa wachambuzi wa kuvundika kutoka Bongo, wakisema Trump n mjinga 😂
Huwezi kuwa mjinga afu ukaongoza USA, ile Sio Tz hata mbuzi anaweza kuwa kiongozi
Mjinga Hawez kuongoza USA.SIKIA: Kuwepo tu kwenye daftari la mahudhurio la Jeffrey Epstein's Island ni ishara tosha kuwa Trump ni zaidi ya mjinga!
Jeffrey Epstein saga inathibitisha hakuna IMMUNITY ya ujinga!
Sawa kobazIran watafunga Strait of Hormuz, unaelewa madhara yake? ni makubwa , bei ya mafuta na gas itapanda haijapata onekana...
Mimi sio muislamu.Sawa kobaz
Trump ni miongoni mwa viongozi wajinga kuwahi kuiongoza USA.Mjinga Hawez kuongoza USA.
Haya, ww ambaye una akili unaongoza nn
Duh!...hii kali.Trump amesema kuwa ameshaacha WOSIA/maelekezo endapo Iran itafanikiwa kumuua.
Wosia huo unawaambia jeshi la Marekani nini cha kufanya baada ya kifo cha Trump!
Mikwara mingi kumbe dingi muoga, aaaagh!
---
View attachment 3545478
President Trump said he's "left instructions" if Iran assassinates him "That would be a terrible thing for them to do, not because of me. If they did that, they would be obliterated. That would be the end. I've left instructions.""There wouldn't be anything left."
Marekani anaweza kumpiga Irani lakini sio jambo dogo kama tunavyofikiria.Mimi sio muislamu.
Una historia ya idadi ya Marais wangapi wa America waliouliwa?Siku ambayo Irani itathubutu kumuua Trump ndio siku ambayo Dunia itaandika historia ya nzito dhidi ya Irani , nasisitiza ndio siku ambayo hatasalia muiranj hata mmoja kwenye USO wa Dunia.
Israel ndiye atakuwa mhanga mkuu..Marekani anaweza kumpiga Irani lakini sio jambo dogo kama tunavyofikiria.
Iran hawana hiyo nia ya kumuua Trump. Na wanajua consequences za kumuua au kufanya hilo jaribio. Trump kama kufa atauwawa na Israel ili wapate visingizio vya Marekani kuishambulia Iran.