Kiuhalisia zile ni tandem drive pia. lakini kintaani haiiitwi tandem, Jina la tandem limekuwa kwa ajili ya double drives za fuso tuNakubali kujifunza zaidi! Kwanini hiyo 114 dual drive isiwe tandem?
Yes nami nafahamu hivyo boss! Ila mtaani tumekariri tandem ni fuso tu.. uko sahihiKiuhalisia zile ni tandem drive pia. lakini kintaani haiiitwi tandem, Jina la tandem limekuwa kwa ajili ya double drives za fuso tu
Zipi trucks aina mbalimbali kama Volvo,scania,Mercedes-Benz,Dad c.f.,Dad Xf,Man diesel na mengine ila kwetu Tanzania Scania ndio truck inayoongoza hasa ukizingatia upatikanaji wa vipuri na matunda makenika wengi wanafikiria sana,ila kama unaanza usikimbilie trucks za G Au R series Euro 5,yavuta truck ya Euro 2-3 ndio utapasua kichwa sanaJe kwa sisi tunaotaka kuanza hii biashara aina ipi ya gari inayotufaa
Dar Lubumbashi ikizidi sana ni siku 10 iwapo hakuna Mambo yatakayo kukwamisha jinsi uwezo safarini,kinachofanya watu kukaa sana Congo ni matajiri kutokupenda kulirudishia gari bila mzigo,ndio unajikuta nimeshashusha mzigo,unasubiria wa kurudi nao TanzaniaNasikia Safari ya Lubumbashi via Kasumbalesa huchukua zaidi ya miezi miwili na malipo yake ni laki sita
imekupata bossZipi trucks aina mbalimbali kama Volvo,scania,Mercedes-Benz,Dad c.f.,Dad Xf,Man diesel na mengine ila kwetu Tanzania Scania ndio truck inayoongoza hasa ukizingatia upatikanaji wa vipuri na matunda makenika wengi wanafikiria sana,ila kama unaanza usikimbilie trucks za G Au R series Euro 5,yavuta truck ya Euro 2-3 ndio utapasua kichwa sana
Tandem ni lorry lenye double diff na lazima iwe na leaf spring,zipo lorry zenye diff moja ila ina axle nyingine yenye kutumia airbags hiyo axle ya nyuma inaweza kunyanyuliwa ikawa inatumika moja yenye diff Hiyo inaitwa tag axle"Kwa hiyo bado unajichanganya. Tandem na Kipisi ni gari mbili tofauti".
Mkuu Pellman , tandem ni jina lililotokana na mpangilio(idadi) ya ekseli za nyuma...
Hii ni body yakutengeneza tabata,sio ya kuja na gari"bodi ya kupachika" VS "body ya moja kwa moja"
msamiati mwingine mpya!..
Siyo lazima iwe na leaf spring boss! Mbona kuna vipisi vingi tu ambavyo ni double diff na vina airbags kwenye diff zote..Tandem ni lorry lenye double diff na lazima iwe na leaf spring,zipo lorry zenye diff moja ila ina axle nyingine yenye kutumia airbags hiyo axle ya nyuma inaweza kunyanyuliwa ikawa inatumika moja yenye diff Hiyo inaitwa tag axle
ndio tujuzane kama fuso(tanderm)yaweza kua pullingJamani kipisi ni gari yoyote anbayo ipo capable na kuvuta tela lakini ukaitumia bila tela. Sasa tangu lini fuso ikapull?
✌️Kuna Siku Niko Iringa Tulikaa Site Kwake Hanspope Nikamuuliza Swali Apart From *DISCIPLINE* Ya Biashara Ya Transport Ni Kitu Gani Zaidi Ya Hapo?
Aliniambia *UKOROFI* 😂
Hakuna Kucheka Na Dereva.
Mkuu hiyo kazi navutiwa Sana na udereva wa haya magari makubwa maroli na mshahara si unalipa mkuu ?ukilinganisha na ualimu ambao ajira zenyewe zinazingua ambao nimesomeaHii ni body yakutengeneza tabata,sio ya kuja na gari
Haiwezi sababu injini za 16 au 17 zilizo katika Fuso hazitofanya kazi Kwa ufanisi kuvuta tani 30+.ndio tujuzane kama fuso(tanderm)yaweza kua pulling