Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 93,021
- 117,474
Ok guys, let's take a trip down memory lane, wallow in nostalgia, reminisce and remember the good 'ol days while growing up and the things we used to do and the games that we played......
Mimi nilikuwa napenda sana kucheza mchezo wa goroli. Nani mwingine humu alichezea goroli? Wenyewe tulikuwa tunakaa chini.....tunachora mstari katikati halafu tunaweka goroli kaa tatu au nne hivi halafu tunazilenga na goroli ingine.....zile goroli zilizokuwa na rangi rangi nyingi na zile za vyuma ndio zilikuwa mali sana......what is/ are your memory(ies)?