Trip Down Memory Lane

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,001
112,644
Ok guys, let's take a trip down memory lane, wallow in nostalgia, reminisce and remember the good 'ol days while growing up and the things we used to do and the games that we played......

Mimi nilikuwa napenda sana kucheza mchezo wa goroli. Nani mwingine humu alichezea goroli? Wenyewe tulikuwa tunakaa chini.....tunachora mstari katikati halafu tunaweka goroli kaa tatu au nne hivi halafu tunazilenga na goroli ingine.....zile goroli zilizokuwa na rangi rangi nyingi na zile za vyuma ndio zilikuwa mali sana......what is/ are your memory(ies)?
 
Watu waliolosti na wazee mara nyingi ndio huanza stories za memory lane, which is it? I know you ain't that old.

Im still making memories, money.
 
Watu waliolosti na wazee mara nyingi ndio huanza stories za memory lane, which is it? I know you ain't that old.

Im still making memories, money.

Nimelosti....nisaidie basi nduguyo, nahitaji vijisenti kidogo.....I know you make enough over there at Wall Street...
 
Hahahahah (evil laugh) I wish I was eating the crumbs of the beggars on Wall Street. Mi nampigia hodi Mwanakijiji siku hizi.
 
Basi bana kama ndio hivyo mi ngoja niendelee kukumbuka enzi zile mambo yalivyokuwa mswano......sasa hivi nimelosti na maboksi na yenyewe yananizeesha mapema...ulikuwa sawa kabisa na ulichosema
 
Basi bana kama ndio hivyo mi ngoja niendelee kukumbuka enzi zile mambo yalivyokuwa mswano......sasa hivi nimelosti na maboksi na yenyewe yananizeesha mapema...ulikuwa sawa kabisa na ulichosema

Tafuta "Chemsha Bongo" ya Profesa J, inaweza kukuliwaza kwamba huko peke yako.
 
nakumbuka tunavamia disco la marines,american embassy,enzi hizo beer ya kopo hakuna,humo ndani za kumwaga,wakikukamata unataka kuchukua takeaway wanaku ban kuingia tena.hii mijitu sijui inakumbuka vipi-ukija siku ingine,mlangoni unapigwa stop
 
alaafu, disco motel agip,mizungu imerudi fresh,kila mmoja anakuja na style yake ya kucheza.DIMKA alikuja na wave,mwingine akaja na snake style ili muradi kuumizana vichwa-tulitishwa sana na ray ban za $ 100.kweli safiri uone mengi
 
....zile goroli zilizokuwa na rangi rangi nyingi na zile za vyuma ndio zilikuwa mali sana......what is/ are your memory(ies)?

........zilikuwa zinaitwa DUNGU

what of kula sana mabibo na kukaanga korosho......nyumbani huonekani mpaka jioni........
 
Kombolela a.k.a kamfichamo, umecheza hiyoo? na kama wewe steling lazima ujifiche na mtoto mzuri. Ulikuwa utoto lakini.
 
Mie na miss kibaba na kucheza cha ndimu, mnakwenda kukusanya nylon mnafuma mpira..ofcourse watoto wa geti hawajui hili.
 
Hivi wale njiwa wa rangi ya cream au sijui ni beige ile walikuwa wanaitwaje?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom