Slave
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 5,314
- 2,635
Wazee jana nilikua naangalia movie ya jean c. Vandamme akiwa kaka yake alex.kuna scene moja vandamme yupo ndani ya meli anachochea mkaa wa moto katika injini ya meli.mie pia nikakumbuka kwamba zamani kabisa hapa kwetu tz kulikuwepo na train zinazo tumia kuni/mkaa inasemekana zilikuwa na uwezo mzuri tu kiutendaji. Mie sikuwahi kuziona ila nimeona mabaki ya vichwa yakitumika kama mashine za viwandani. Hivi hizo train za ki zamani na hizi za kisasa ni zipi ambazo ni bora na zisizo na gharama kubwa ki uendeshaji.? Na ni ni vp zilifutwa kufanya kazi. Naomba uelewa wako juu ya hayo majongoo ya kizamani na majongoo haya tuliyo nayo.