Reli ya mwendo kasi ikikamilika wananchi waruhusiwe kutumia reli ya zamani kwa boda boda za treni kama hii za kutengeneza wenyewe

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,904
Reli ya mwendo kasi ikikamilika wananchi waruhusiwe kutumia reli ya zamani kwa boda boda za treni kama hii za kutengeneza wenyewe

Bodaboda za ki treni ni rahisi kutengeneza sababu zinatumia injini zinazotumiwa na mitumbwi ya wavuvi.

Waweza ziweka au zitoa kwenye reli kirahisi tu watu wawili wakainyanyua kuitoa .Mali ghafi zote za kutengeneza ni rahisi na hazina gharama kubwa

Boda boda treni hizi zitarahisisha safari za vjijini hata mijini inamopita reli kwa kupakia mizigo na abiria na zitatoa ajira kwa watu wengi na kuchangamsha uchumi

Boda boda zenyewe za ki treni ni kama hii

Hakasogezi gunia hako, acha mchezo na gunia wewe!😂😂😂
hesabu hujui hata rahisi tu gunia moja kilo mia moja hao watu tu waliopanda hata huwezi kujiongeza ukajua mtu mmoja akiwa na minimum kilo hamsini kwa watu watano na dereva tayari inasoma kilo mia tatu !!!

HUWEZI HATA KUJIONGEZA KIDOGO ?
 
We unaona kinasogea hiko kiufala?
 
Back
Top Bottom