Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,682
wewe jamaa utakuwa pimbi i think......Hawa TRA wanataka kujenga matabaka katika nchi yetu najua matabaka yalikuepo lkn sasa wanataka kuyaonyesha wazi wazi.Hivi ni mimi mzee wa Katavi ntaweka plate namba ya jina langu kwenye gari yangu ya Starlet tena niliyoinunua kwa mkopo wa bank.Sio wanataka tuwajue mafisadi vizuri ili tuendelee kuwaabudu
Le Mutuz 2015 🙂...hii itatinga mtaani muda si mrefu ujao. 🙂
Le Mutuz 2015 🙂...hii itatinga mtaani muda si mrefu ujao. 🙂
Gari yenyewe hii hapa..........ya kibaharia au GURUWE
![]()
Mkuu hii ndio ilikuwa gari,unaweza kunisaidia namna ya kupata special order ya guruwe toka South Africa maana kwa Europe bei ni kubwa sana
Teh teh teh.....na kama license plate ingetosha basi jina zima lingewekwa....Le Mutuz Le Baharia Ze Biiig Show Kata Kivuko @ DSM City.....
Ila personalized license plates ni kujichoresha. I did that 10 years ago and I didn't like it.