TRA wameshaanza usajili wa magari

wewe jamaa utakuwa pimbi i think......
kama huwezi arifu piga kimya wenye uwezo wanaweka ma pleti ya mkwanja mrefu.....


Yawezekana nyie ndo mafisadi mmekaaa na baba zenu na mama zenu mkaja na mbinu za kutaka taifa liwajue.Acha ushenzi kabisa we hivi unafikiri hiyo ni idea eti TRA wanataka kukusanya mapato uliiisikia wapi karne hii, mapato yenyewe yasiyo na kichwa wala miguu.Acha ushenzi wako usio na maana wewe bisha kwa point sio kuleta mambo ya ajabu ajabu
 
Hizi makitu zenye namba za DELINA1, DELINA2 (BMW X6), DELINA3 (EnVogue), DELINA4( Posche Cayenne),.... DELINACEO kama hii hapa chinikumbe ni za mkulu David Mosha

Jamaa anatisha sana ila amenikera eti anamiliki Club Tanzania (Yanga) mweh? kweli money power respect... Wapi watoto wa Bakheresaaa...


<tbody> </tbody>

Delivering KenolKobil's promise

mosha.jpg
Davis Mosha, founder, Delina Enterprises, one of KenolKobil's key transporters in the region.

<tbody>
</tbody>
Davis Mosha lives a fulfilling life by doing what he loves best: business, rallying and football. He is an entrepreneur, a rally driver and owns a football club in Tanzania, his motherland.

But this has been made possible courtesy of his business. Mr Mosha is the founder and director of Delina General Enterprises a company that transports fuel and other products to KenolKobil depots throughout East Africa. The company's name Delina is derived from the first initials of his wife and children: D for David, E for Edgar, L for Lisa N for Nancy and A for Angela.

From Mombasa to Kampala, Dar to Congo, Delina serves KenolKobil clients with a passion born out of experience and a mutually beneficial relationship. Delina and KenolKobil have come a long way. It started in early 2000 when KenolKobil was seeking to expand its operations to Tanzania. The oil company rented his fuel station in Chalinze, Morogoro, the first that Kenol Kobil established in the country. Due to his experience doing business in East Africa's biggest country, he also advised the company.





Davis Mosha alikuja na gari hii, yenye thamani ya Sh. Bilioni 1. Hakuna mtu mwingine yeyote Tanzania mwenye gari hii. Na hadi sasa marekani kwenyewe anayo P Diddy tu.

<tbody>
</tbody>





SOURCE: Delina Group Enterprises (DGE) - Official Website
 
El Toro lamboghini zipo hapa bana nimesikia zipo mbili....
pia eti anayo pdiddy pekee......unaota wewe hufatilii news, juzi tu kim kardashian kampa zawadi kanye west lamborginni,
 
Last edited by a moderator:
Huyu kijana wa kichagga na haya magari ya Bil 1 tena private number, Nyumba yakuishi yenye cubical glass elevator. Kazi ipo.:spy:
 
Huyu kijana wa kichagga na haya magari ya Bil 1 tena private number, Nyumba yakuishi yenye cubical glass elevator. Kazi ipo.:spy:

jamaa anatisha yeye kaweka gari zote tano hapa pesa ndo inamtumikia jamaa kweli kasikazini wanatisha
 
Nimefurahishwa sana na mosha , tuko wengi tunakuja . kinachonifurahisha zaidi ni kwamba nasikia jamaa ni form 4. lakini ameweza kweliujasiria mali unalipa
 
Wakifikia pikipiki mtustue...kama naziona, DINA1, DINA2..etc...etc

I hope makusanyo yake hayataishia mikononi mwa wajanja..
 
yaani huyu buzi likikata kama lazima arudi tra ktafuta T100DAA.
kwa sababu hiyo namba ukikaa miaka 5=milioni 25.
Hiyo gari anaendesha Nancy mke wake Davis Mosha. Huyo demu ana Bureau de change pale Ubungo plaza inaitwa Delina bureau de change.
 
Niliwashangaa sana hapa ndani siku ilipotangazwa hii kitu watu walilalamika kuwa pesa ni nyingi sana na vitu kama hivyo, lkn walisahau kama wakati wewe unatafuta pesa ya kula kuna watu wanajiuliza waitumie vipi pesa yao"
 
Nimefurahishwa sana na mosha , tuko wengi tunakuja . kinachonifurahisha zaidi ni kwamba nasikia jamaa ni form 4. lakini ameweza kweliujasiria mali unalipa
kwa hiyo hapo suala la kuomba cv yake halihusiki??
 
Back
Top Bottom