TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

Mke wangu /Mama yenu mdogo ametumiwa Email ila simu hakupigiwa.
 
wakuu jana na mimi nimepigiwa nikaambiwa nimechaguliwa kwa post ya assistant tax officer, sasa leo asubuh nimepigiwa na dada mwingine kaniambia amenitafuta tangu juzi anipati na kuwa nimechaguliwa kwa post ya assistant custom officer.
ila nimechungulia ka email kangu nimetumiwa ka barua ka assistant tax officer. wamenichanganya
 
Nenda kafanye ile uliyokuwa umeaply
 
Hongeren mlioitwa mungu awape heri kwa kila point mtakayopitia!!! Hizo ni za mwaka jana za mwaka huu tuwe na subira!!!
 
Habari wadau, poleni na majukumu, hatimaye TRA wameanza kuita watu kwa usaili utakaofanyika tarehe 11 bunju Ilipo NBAA

Updates
Kwa wale waliokua na wasiwasi kuhusu barua tayari TRA wameishatuma kwenye email zenu angalieni
wengine tumeaply hatujaitwa,hatujafikia vigezo nini ?
 
Wadau kwa graduates wa mwaka jana ambao vyuo hadi leo bado havijatoa vyeti ila wana transcripts tu wanaweza kukubaliwa?!
 
BREAKING NEWS??????Interview ya TRA kufutwa:Baada ya kuota jana usiku.
 
wakuu jana na mimi nimepigiwa nikaambiwa nimechaguliwa kwa post ya assistant tax officer, sasa leo asubuh nimepigiwa na dada mwingine kaniambia amenitafuta tangu juzi anipati na kuwa nimechaguliwa kwa post ya assistant custom officer.
ila nimechungulia ka email kangu nimetumiwa ka barua ka assistant tax officer. wamenichanganya
Kama zinafanyika muda tofauti fanya zote braza.
 
Back
Top Bottom