TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

Habari, nani anakumbuka duties and responsibilities za assistant custom officer maana nikitambo toka hizo post zitoke na zimesahaulika. mwenye nazo please azi-apload....
Binafsi nashangazwa sana na Maswali ambayo mnajaribu Kubashili mimi siwezi kutoa swali mboga kiasi hicho Kipimo cha Ufaulu kitakua nini?


Kwa kukusaidia naweza kutoa haya hapa.

1. Tax Administration
2. Concept of Double Taxation and Tax evasion


TUMIA East African Community Custom Management Act (EACCMA)


4. Prohibited goods and Restricted goods as Used in Tax law.

Hapa hebu pitia
PART 3 Section 18-20 Soma Section 39

PART 5 Section 70,71,72,82

PART 12 Hebu soma section Zote hapa. Section 149-159

PART 17 Najua inatia Uvivu but you never know nitatoa wapi soma yote.

Part 18, 19, 20

VAT Act of 1997


Nitazidi kukupa maswali mengine Kadri unavyoyaelewa hayo. Mtihani hautakua Rahisi
 
Kuna ambaye ameitwa nafasi ya assistant tax officer? mlioitwa tupeane info ili interview tuikabili vizuri
1 theories of taxation
2 adam smiths laws of taxation
3 what is tax base
4 how can you tax commodities like beer, cars, oil and cloths. Give the tax model and possible type of tax to each
5 what is good tax system?
6 Relate tax and development of Tanzania
7 Who is the tax man and what are his duties?
8 how excise duty and VAT differ? show how both two are included to the price of a good?


usichukulie serious ni katika hali ya kuwaza tu maana na mimi nimeitwa ila sijui kama ntaenda... but kama hujui hayo hapo juu anza kujitafakari
 
Leteni majibu basi ya hayo maswali?Mi nimepata moja tu,who is Taxing officer? Is the officer who Tax.
 
nimepigiwa simu kwa post ya "Custom" , katika baadhi ya vitu wanavyovihitaji siku ya interview ni pamoja na invitation letter. Sasa wadau hii invitation letter wana-email au unaipata wapi.? tusaidiane tafadhali
 
nimepigiwa simu kwa post ya "Custom" , katika baadhi ya vitu wanavyovihitaji siku ya interview ni pamoja na invitation letter. Sasa wadau hii invitation letter wana-email au unaipata wapi.? tusaidiane tafadhali

wamesema wataiemail ila nashangaa siku zinatembea tu lkn bado hata hawajatumaa.
 
wamesema wataiemail ila nashangaa siku zinatembea tu lkn bado hata hawajatumaa.
Kuna watu pia wamepigiwa lakin hawajatuma email so ww nenda na vitu ulivyoambiwa uende navyo au unaweza piga huduma kwa wateja airtel watakuelewesha nn chakufanya
 
Back
Top Bottom