kamanda wa makamanda
JF-Expert Member
- Aug 21, 2015
- 633
- 498
wale tuliopita walike hapa tupeane madessa ya oral
Kamanda mambo vp, preventive wamechaguliwa wangapi,,, unaweza nichekia na mimi Niko Dodoma,,, majina yangu Vincent Stowa Andrewwale tuliopita walike hapa tupeane madessa ya oral
kamanda usijali...ntaweka orodha ya waliochaguliwa hapa wote soonKamanda mambo vp, preventive wamechaguliwa wangapi,,, unaweza nichekia na mimi Niko Dodoma,,, majina yangu Vincent Stowa Andrew
Hujui kua ajira zimesitishwahv wale wa Diploma walio fanya oral interview kwa upande wa tax ass..wamesha anza kuita au bado...napenda kujua
Kua karibu na cm yako ukiitwa uckosekane!..Si tulifanya mwezi huu tarehe 5 ..TRA...mi nili piga post ya tax assistant
Kulikoni?Aisee