Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 16,979
- 26,083
Onyo:-Wale ambao mna tabia ya kubadili simu na namba imekula kwenu,Pili,wale ambao mda wa mchana mpo kwenye bando na simu ipo busy ikipigwa na ofisa wa TRA akiambiwa busy hapigi tena
Asante mkuuHongera sana mkuu pia jiandae kwa usaili huo
Teh teh teh kweli kwenye wengi kuna mengiLeo TRA wamenipigia Simu nimefurahi sana hiki kitu nimekisubiria mda mrefu nimeruka ruka sana kwa furaha Kwa kweri Mungu ni mwema na Wewe atakusaidia Leo ndo nimepigiwa simu Nikachukue TIN number.
ok,ngoja nasi tuwe karibu na simuLeo TRA wamenipigia Simu nimefurahi sana hiki kitu nimekisubiria mda mrefu nimeruka ruka sana kwa furaha Kwa kweri Mungu ni mwema na Wewe atakusaidia Leo ndo nimepigiwa simu Nikachukue TIN number.
ha ha haa,kumbe anarusha watu roho tuUmekisoma vizuri alichokiandika wamempigia kuhusu nini mkuu?
Habari, nani anakumbuka duties and responsibilities za assistant custom officer maana nikitambo toka hizo post zitoke na zimesahaulika. mwenye nazo please azi-apload....Habari wadau, poleni na majukumu, hatimaye TRA wameanza kuita watu kwa usaili utakaofanyika tarehe 11 bunju Ilipo NBAA
wakuu ni kweli kuna dogo wangu kapigiwa leo, ila kaambiwa tarehe kumi na tatu, embu tujuzane kwa iyo tareheAnother man down@perry
Mkuu huyo dogo wako kaambiwa tarehe 13 kwa post gani na interview yake itafanyika wapi?wakuu ni kweli kuna dogo wangu kapigiwa leo, ila kaambiwa tarehe kumi na tatu, embu tujuzane kwa iyo tarehe
Habari, nani anakumbuka duties and responsibilities za assistant custom officer maana nikitambo toka hizo post zitoke na zimesahaulika. mwenye nazo please azi-apload....
Customs officer, rudia kusoma vizuri