TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

teh teh teh.mkuu hapa me mwenyewe nilitegemea kuitwa ila naona chenga tu,yani naona kama vile nimeishapigwa chini kama rafiki yako perry.
Hahahahaaaa. Mwambie Perry anitumie jina naa namba yake nimpigie simu
 
Leo watu walikua wachache compared to waliofanya diamond jubilee
 
Habari wadau, poleni na majukumu, hatimaye TRA wameanza kuita watu kwa usaili utakaofanyika tarehe 11 bunju Ilipo NBAA

Updates
Kwa wale waliokua na wasiwasi kuhusu barua tayari TRA wameishatuma kwenye email zenu angalieni

Update kwa waliofanya interview NBAA
 
Back
Top Bottom