vp mkuu naona kweli uliipatia ya taxAsante sana mkuu tupo tunapambana
Tuhabarishane mambo yaki kaa sawaZitakuja mkuu bado matokeo hayajatoka
Mdogo wangu alifanya Jana ila alipigiwa simu wiki moja kabla na leo atapata majibu wameambiwa watakao pita jumatano oralWhy wasiweke majina kwenye website hii ya kupiga simu inachukua muda mrefu mtu anaweza akapigiwa siku moja kabla ya interview na kama yuko mkoani inakuwaje badilisheni utaratibu
Mdogo wako au wewe mwenyewe?Mdogo wangu alifanya Jana ila alipigiwa simu wiki moja kabla na leo atapata majibu wameambiwa watakao pita jumatano oral
Dogo mdauMdogo wako au wewe mwenyewe?
niliona tax nyingi tu, had nikaona nyotaKivipi mkuu?
ina maana kesho oral?Mdogo wangu alifanya Jana ila alipigiwa simu wiki moja kabla na leo atapata majibu wameambiwa watakao pita jumatano oral
kama kawa wabongo engi ni majipu..jana jamaa alisema saa 10 kamili jioni wataachia matokeo lakini hadi saizi kimyaHabari wadau, poleni na majukumu, hatimaye TRA wameanza kuita watu kwa usaili utakaofanyika tarehe 11 bunju Ilipo NBAA
Updates
Kwa wale waliokua na wasiwasi kuhusu barua tayari TRA wameishatuma kwenye email zenu angalieni
usijali mapambano yanaendeleaPole sana mkuu
daaaaah soko la ajira gumu sana mkuuSafi sana kwa kuwa na courage
pambaneni sisi wengine hata kuitwa interview hatujaitwaSafi sana kwa kuwa na courage
ni kwelidaaaaah soko la ajira gumu sana mkuu
harafu mbona ukifeli interview bado maisha yanaendelea, kwa hyo ni kupambana tu.Mkuu sio kana kwamba tunaposema tunapambana wote tumeitwa hapana mkuu