TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

Nikikumbika nilivyotoka usiku pale afu nimekaushiwa hadi leo hahahaaa....
 
Hakuna anaemaanisha ivyo mzee! Issue ni kuwa mtu ume struggle mpaka dk za mwisho afu unaambulia patupu ndo tunachomaanisha...kupata hatuwezi kupata wote tra na pia sio peponi pale.kuna waliofanikiwa na wengine hatujafanikiwa thats all.mwisho wa siku nikuwa happy tu
 
Umemjibu vizur sanaa, mana watu wengine cjui akili wanatumia kuzikalia ..........
 
Habari wadau! Aisee huu mwezi wa saba nani mwezangu ambaYe ameitwa kwenYe interview TRA??
ivi wewe ni mburula wa wapi huelewi kiswahili??
lugha ndogo aliyoongea rais hukumuelewa ndo utaelewa kazi yake?
serikali imesitisha zoez la kuajiri kwa miezi karibia miwili wasafishe uko jikoni kwao,,then wataendelea mnamo september kuita..kama uli apply na kuitwa utakua umepokea message ya kusimamisha zoez la ajira..
 
Jamaa ang unajua we ni mtoto wa kiume na wanaume hatusutagi sasa nashangaa mshkaji ang unanipa mashaka achaga izo mambo! Ni utaratibu ambao unaendelea kabla Ya zoezi la kusitisha ajira so kama kitu huna uhakika usibonge
 
Nafaham watu wameitwa on 23 July....Jiandae na Interview kijana achana na hao waliozoea kubebwa
 
Jamaa ang unajua we ni mtoto wa kiume na wanaume hatusutagi sasa nashangaa mshkaji ang unanipa mashaka achaga izo mambo! Ni utaratibu ambao unaendelea kabla Ya zoezi la kusitisha ajira so kama kitu huna uhakika usibonge
kifupi hukuitwa jua umechujwa..sasa hasira zako za kuchujwa huko unazileta hapa kama mgeni wa protocol za ajira ase unakua unazingua bange ase
 
Mimi mwenyewe nimepigiwa simu na TRA wiki Jana na sisi hivu nipo njiani naenda kwenye usaili DAr utakaofanyia Tarehe 23,,, sasa wew unae sema serikali imesitisha ajira mpaka September tena kwa shouting hvyo aya...
 
Wakuu ebu nielewesheni kidogo, ule mchakato wa msako wa watumishi hewa umeisha au TRA kuna special case. Maana sidhani kama miez 2 imefika toka rais atangaze kusimamisha ajira za serikali
 
Ajira zimeshafunguliwa sasa
 
Back
Top Bottom