mkuu tuendelee kuwatumikia wahindi one day tutachomokaDaaah mi bado siamini karoho kananiuma, maana hata mm n muhanga wa wahindi km ndugu yangu reyro
mkuu tuendelee kuwatumikia wahindi one day tutachomokaDaaah mi bado siamini karoho kananiuma, maana hata mm n muhanga wa wahindi km ndugu yangu reyro
Daaah mi bado siamini karoho kananiuma, maana hata mm n muhanga wa wahindi km ndugu yangu reyro
Kwahyo walioitwa ni preventive na tax??CUSTOMS BADO SANA TUNASUBIRIA SIMU MPKA JUMAPILI
TAX NA PREVENTIVE MAPEMAAAA SAAAANA WAMEITWA CUSTOMS BADOOOOO
Wakuu Custom tayari. Mimi leo nilifuata barua yangu ya Asst Tax, nikakutana na jamaa yeye ana barua ya Custom na anasema alipigiwa simu tangu Jtatu.
Sina ushahidi mwingine.
Ey uliapply tax assistance ???
Niliapply na nimeitwa Post ya Asst Tax Officer
hiyo hatari na mm kuna mtu aliniambia wote wamepewa taarifa, so kaza but badili uelekeo TRA cyo size yakozoezi limeisha, jana nimeenda TRA, reception tu kuna barua baadhi, na zingine zishatumwa mikoani na chumba na 27 kinazo chache pia,,,,, but nilikua miongoni mwa ambao hawakufanikiwa.
pale nilipo danganya simu yangu ilikua haipatikani so nimekuja fanya confirmation na kujibiwa wote tuliowapigia tumewapata....aah aaah
Mtafutaji hachoki, tukaze,,,,,
Safi sanazoezi limeisha, jana nimeenda TRA, reception tu kuna barua baadhi, na zingine zishatumwa mikoani na chumba na 27 kinazo chache pia,,,,, but nilikua miongoni mwa ambao hawakufanikiwa.
pale nilipo danganya simu yangu ilikua haipatikani so nimekuja fanya confirmation na kujibiwa wote tuliowapigia tumewapata....aah aaah
Mtafutaji hachoki, tukaze,,,,,
mkuu upo hapo makao makuu niniSafi sana