TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

Jamaa wana mbwenbwe sana...tunapimwa kama wacheza mpira!.
Badala watusome Saikolojia waone kama ni majipu au laaa wameshikilia CT Scan sijui ushuzi gani.....na majibu wabaki nayo wenyewe mimi wanipe ofisi na meza tu na kule CRDB mzigo uwe unatiririkaa
 
ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaa tukumbukane basi nikutumie katigo pesa kangu xunajua tumetoka mbali
 
ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaa tukumbukane basi nikutumie katigo pesa kangu xunajua tumetoka mbali

Aisee wewe REYRO tayari ushapata.
Kama upo karibu baadae ukitoka kwa wale WAHINDI wanaokupigisha DEKI uje mitaa ya Kijitonyama.
 
Ndio nyie jana mlikua kwenye semina na maboss wa tra? Jana niliwaona kwenye taarifa ya habari
 
Reyro upo wapi ???
ha ha ha umenimis eeeeh!!!!!!!!!!!!!!!! nipo hapa kazin rafiki nawatumikia watukufu wahindi ndo namaliza kudeki nikakalie kiti changu cha uhasibi hope upo kwenye kiyoyozi mkuu
 
Hatimaye namm MUNGU amenipendelea. Ooooh Ahsante MUNGU wangu.
 
Jitaidi usitumbuliwe soon maana huko daaaaah atariiii ha ha ha i wish the best of luck [emoji119][emoji119][emoji119] congrats
 
Umeambiwa unaanza kazi au unatakiwa uingie kwenye Mafunzo?.
Kama mafunzo anza kuaga kabisa kunyumba maana watu wana masomo Saba semester ya kwanza. Suruali lazima zikupwaye!
 
Umeambiwa unaanza kazi au unatakiwa uingie kwenye Mafunzo?.
Kama mafunzo anza kuaga kabisa kunyumba maana watu wana masomo Saba semester ya kwanza. Suruali lazima zikupwaye!
Duuuh huuu mtihani sasa...lakini yote kheri maana nkifikiria hawa wahindi..
 
Back
Top Bottom