[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23]Dah kama preventive washaitwa imekula kwangu dah nlivyokua nisubiri kwa matumaini[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
lahaulaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaOff course kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi
Naskia kama ulijibu currently unafanya kazi sehem flan ndo ushakatwa tena!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! mlioitwa mtuambie mlijibu ni majobless au hii tetesi ni uiongo
yah mm nina rafiki zangu kama sita hiv nimemaliza nao mzumbe hawakua na kazi wote wameitwa na wengine watano walijibu wako kazini hawajaitwa dadeki hii ni kwel kabisa najutaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaInaweza kuwa na Ukweli. Mi waliuliza 'When will you be available if TRA wants you' nikatiririka kuwa at any time T. Na walivyonianbia we need to hear about you starting from College nikavurumisha madude weeeee sikusema kama nina sehem ya kuzugia.
Wanangu wawili wapo Auditing firm, walifunguka kazi zao ili kuongeza Credibility (Wenyewe ndo walisema) hadi sasa LANDLINE hazijawafikia!.
ha ha haduh haya kazi ipo, kwa hyo mchezo kwisha
reyro vp wewe hujapata?ha ha ha
Nahisi ninanyota ya wahindireyro vp wewe hujapata?
Nahisi ninanyota ya wahindi
HYO NYOTA KOMAA NAYO MWISHOWE UTAFIKA CHINAHa ha ha ha ha ha ba ha uwiiiiiiii
HEBU ALIYEITWA ASEME KAITWA NAFASI GANI, HARAFU KAMA WATU HAWAAMINI MCHEZO KWISHAKuna Walioitwa customs humu?
Daaah mi bado siamini karoho kananiuma, maana hata mm n muhanga wa wahindi km ndugu yangu reyro[/QUOMBA MUNGU NAKUMBUKA KUNA JAMAA YANGU ALIKUJA KUITWA HADI AMESHA SAHAU KAMA ALIFANYA USAILI