ha ha ha ha hatareeeeeeeeeeeeeeeIla hii system ya uitaji ni mbovu kwanini wasinge publish kwenye website list ya majina au zile namba za siku ya interview? Sasa wamefanya hivo ili kuchomeka majina au vip? Hii nchi yetu bana yaani kila jambo linatia shaka na kuacha maswali.