ha ha ha ha ha presha inapanda presha inashuka teh teh tehCUSTOMS VP JAMANIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
ha ha ha ha ha presha inapanda presha inashuka teh teh tehCUSTOMS VP JAMANIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
atakaye itwa custom awe makini sana hiyo post ni noma kwa ajira yako mguu nje mguu ndaniCUSTOMS VP JAMANIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
ha ha ha ha ha presha inapanda presha inashuka teh teh teh
ndugu tuambiane
he he yan unanchekesha mbavu sina huku presha ikinengua juu juu loooooooooooooooooooooh TRA tuheshimianekuna walioitwa customs humu
mmmmmmmmmmm
hahahahaha nikiitwa ntazimia kwa furaha maana WAHINDI wananinyanyasa mm accoutant hapohapo nioshe vyombo wakinywa chai nideki ofic, nideki choo kwa laki tanoww umeitwa nn
hahahahaha nikiitwa ntazimia kwa furaha maana WAHINDI wananinyanyasa mm accoutant hapohapo nioshe vyombo wakinywa chai nideki ofic, nideki choo kwa laki tano
inauma sana nalalamika mtu wa usafi wanajizungusha tu yan nikiitwa NTAANDIKA 24 HRS RESIGNATION nahisi watalia sana kenge hawa
We jamaa umenchekesha kinomahahahahaha nikiitwa ntazimia kwa furaha maana WAHINDI wananinyanyasa mm accoutant hapohapo nioshe vyombo wakinywa chai nideki ofic, nideki choo kwa laki tano