TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

Nimenunua betri na Pawa Benki ili nisije kosa simu yao...nimenunua na Kipochi cha kubebea simu....na kwa hali inavypendelea nataka nitafute NOKIA kitochi maana si haba kwa kukaa chaji hii Tecno itanikosesha mambo matam.!!
 
ha ha ha ha yaani wewe unavituko kwel we omba mungu upepo ukudondokee tu bas
 
Si waliuliza when will u b available? nikajibu ant time wakasema ok we shall contact u any time from now nikasepa
ok, mi pia niliwambia anytime wakasema, TRA will contact you, huku nikatoka nikiwa nacheka harafu mbabu anaangalia kwa makini nikaanza kuhisi anakagua mlegezo
 
Nimenunua betri na Pawa Benki ili nisije kosa simu yao...nimenunua na Kipochi cha kubebea simu....na kwa hali inavypendelea nataka nitafute NOKIA kitochi maana si haba kwa kukaa chaji hii Tecno itanikosesha mambo matam.!!
hatariii itakuwa ulifanya vyema, kweli mmewaamulia TRA mwaka huu
 
ok, mi pia niliwambia anytime wakasema, TRA will contact you, huku nikatoka nikiwa nacheka harafu mbabu anaangalia kwa makini nikaanza kuhisi anakagua mlegezo
ha ha hahahahahaha mlegezo tena
Yani hata mimi nna wasiwasi hyo, maana mmh wanaweza wakasema aah huyu anakazi tayairi ngoja tumuache.
ha ha ha ha ha bas imekula kwangu aisee uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Kuweni na subra mtaitwa baada ya mwezi mmoja
 
Back
Top Bottom