macklisious_
Member
- Apr 15, 2016
- 40
- 12
Daaaah hawa watu sasa mbona hayo maswali yako deep sana kwa mtu asiesoma taxusiombe yan alicheka maana nilibadilika uso wote
Daaaah hawa watu sasa mbona hayo maswali yako deep sana kwa mtu asiesoma taxusiombe yan alicheka maana nilibadilika uso wote
nina rafiki angu wa uchumi hajasoma tax hata chembe yeye kila swali alijibu im not familiar hahahahahahaha alitoka anacheka mwenyewe ni hatareDaaaah hawa watu sasa mbona hayo maswali yako deep sana kwa mtu asiesoma tax
Ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaa uwiiiiiiiiiiiii hii ni shida aseeeeee eti im not familiarnina rafiki angu wa uchumi hajasoma tax hata chembe yeye kila swali alijibu im not familiar hahahahahahaha alitoka anacheka mwenyewe ni hatare
Mimi kuna ngoma ya presumtive na ile ya VAT nilimwambia PASS ili noulizwe swali lingine...Wakaniambia yameisha. Basi nikanyanyuka nikapangusa matako as if nilikalia vumbi..jasho lanivuja kama hakukua na AC, machozi yakaanza nibubujika lakini nikasema Mungu baba uliyembinguni hebu nipe tumaini katika siku hii ya leo. Nae akanena akasema hakika nimepata kuyasikia maombi yako haya nenda kalale nyumbani.nina rafiki angu wa uchumi hajasoma tax hata chembe yeye kila swali alijibu im not familiar hahahahahahaha alitoka anacheka mwenyewe ni hatare
Uwiiiiiiiiiiiiii mungu weeeeeee nacheka kama chizi apa ha ha ha ha ha ha ha ha jamn kumbe kunashida uko eeeeeh mbona balaa hili ha ha ha ha h ha ha ha ha haaaaaaMimi kuna ngoma ya presumtive na ile ya VAT nilimwambia PASS ili noulizwe swali lingine...Wakaniambia yameisha. Basi nikanyanyuka nikapangusa matako as if nilikalia vumbi..jasho lanivuja kama hakukua na AC, machozi yakaanza nibubujika lakini nikasema Mungu baba uliyembinguni hebu nipe tumaini katika siku hii ya leo. Nae akanena akasema hakika nimepata kuyasikia maombi yako haya nenda kalale nyumbani.
daaah watu mna raha nyie, mm jamaa walikuwa wakiniuliza nikitaja ya kwanza ya pili kuna muda nasikia ok, ok okMimi kuna ngoma ya presumtive na ile ya VAT nilimwambia PASS ili noulizwe swali lingine...Wakaniambia yameisha. Basi nikanyanyuka nikapangusa matako as if nilikalia vumbi..jasho lanivuja kama hakukua na AC, machozi yakaanza nibubujika lakini nikasema Mungu baba uliyembinguni hebu nipe tumaini katika siku hii ya leo. Nae akanena akasema hakika nimepata kuyasikia maombi yako haya nenda kalale nyumbani.
Wewe utakua ulikua unayabomoa vilivyo aisee!!!.daaah watu mna raha nyie, mm jamaa walikuwa wakiniuliza nikitaja ya kwanza ya pili kuna muda nasikia ok, ok ok
toinyo vp wewe mkuu hawajakushika huko maana kwa sisi tuliosoma uchumi ilikuwa unaomba Mungu cku iishe haraka ukajipoze na juiceUwiiiiiiiiiiiiii mungu weeeeeee nacheka kama chizi apa ha ha ha ha ha ha ha ha jamn kumbe kunashida uko eeeeeh mbona balaa hili ha ha ha ha h ha ha ha ha haaaaaa
maswali mengine nilikuwa simalizi kutaja vpengele nastukia swali lingine, kulikuwa na mbabu ananikazia maswali hadi natamani kuharaWewe utakua ulikua unayabomoa vilivyo aisee!!!.
Mimi nilikamatwa wakasababisha hata nisahau na zile duties....Mi sikusoma Tax basi ninene tu ya kutoka kinywani kuwa sina tofauti na wenzangu wa Econometrix..nilitegemea niulizwe Demand Pull na Cost push Inflation rakini wapiiiiiiitoinyo vp wewe mkuu hawajakushika huko maana kwa sisi tuliosoma uchumi ilikuwa unaomba Mungu cku iishe haraka ukajipoze na juice
ha ha ha ha haaaaaaa mbavu zangu zimekatika kwa kicheko na huruma juuuuuuuuMimi kuna ngoma ya presumtive na ile ya VAT nilimwambia PASS ili noulizwe swali lingine...Wakaniambia yameisha. Basi nikanyanyuka nikapangusa matako as if nilikalia vumbi..jasho lanivuja kama hakukua na AC, machozi yakaanza nibubujika lakini nikasema Mungu baba uliyembinguni hebu nipe tumaini katika siku hii ya leo. Nae akanena akasema hakika nimepata kuyasikia maombi yako haya nenda kalale nyumbani.
A ha ha ha ha ha ha ha ha jamn mweeeeeMimi nilikamatwa wakasababisha hata nisahau na zile duties....Mi sikusoma Tax basi ninene tu ya kutoka kinywani kuwa sina tofauti na wenzangu wa Econometrix..nilitegemea niulizwe Demand Pull na Cost push Inflation rakini wapiiiiiii
kwel kabisa maana sisi five point yule maza anasikiliza zote na macho yote anakutazama usoni hapepeziWewe utakua ulikua unayabomoa vilivyo aisee!!!.
eti iyo ni application za lini maana mimi nili apply zile walizotoa 300 za diploma mwez ule uliopita jaman ata sijui wameshaitwa maana naona tu kimyaaaaaaaTuombe Mungu tu maana hatujui wanataka wangapi na hatujui nn kiko mbele unaweza zimia tu ukipokea simu from TRA officer umechaguliwa
Tatizo sasa hivi TRA hapana maslahi.Wanapiga simu mkuu sio majina vuta subra mkuu watakupigia
nyie bado hawajaita msubileti iyo ni application za lini maana mimi nili apply zile walizotoa 300 za diploma mwez ule uliopita jaman ata sijui wameshaitwa maana naona tu kimyaaaaaaa
Kivipi mkuu tujuzane tusije tukaacha vibarua vyetu tukaruka mkojo tukakanyaga yale mambo ha ha haTatizo sasa hivi TRA hapana maslahi.
ha ha ha ha ha ha mimi wakanipa namaji yakunywa babu anasema kunywa maji uwe fresh akat yeye anarembua usingiziDah aisee kulendan noma maswali tight kila Kitu explain hadi nikipata mafua ya ghafla haha