Tax 150zaidi ya 100 kwa assistant tax officer
preventive 77
custom 73
Total 300................Numerology, just numbers with no meanings.
Tax 150zaidi ya 100 kwa assistant tax officer
DUH MUNGU SAIDIA MAANA ...................Tax 150
preventive 77
custom 73
Total 300................Numerology, just numbers with no meanings.
REYRO WEWE C NI MTOTO WA KIGOGO UNA WAS WAS GANI?ha ha ha ha haya bwana apo toa 100 ambao wakujuana then 200 wa watoto wa wakulima
hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaa hata sijulikani kwetu ifakara huko kwa wakulima huhuhuhuhhuuuuuuuuuuuuuREYRO WEWE C NI MTOTO WA KIGOGO UNA WAS WAS GANI?
teh teh teh paaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah ndo nn au kamlio ka simu afu umechelewa kukapokeUkisikia Paaaah, ujue imekukosa!
duh bas mapenzi ya Mungu yatimizwe, maana hii kama sandakarawehahahahahahaaaaaaaaaaaaaaa hata sijulikani kwetu ifakara huko kwa wakulima huhuhuhuhhuuuuuuuuuuuuu
tutasubir sana
wale wa diploma?Ha ha ha ha bado
wale wa diploma?
Leo wameanza kuita watu kwa simu wakachukue barua chumba namba 17