TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

nimekuta missed call ya number 0901653333 naipigia naambiwa namba haipo. Nshapishana na gari la mshahara au?
 
hahahahahahahhahaha hao si tigo promotion ya milio bomba hahahahahahahahaa

hakiyanani mwaka huu tutakoma mm nilikuta missed call no ya ajabu napiga haipokelewi nikarudia mara kibao ikapokelewa ila simsikiii wala nn vocha ikaisha nikakopa kupokea kumbe mteja nilimpa no the same day nilimkatia simu nikachukia sana hahahahah
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
hahahahahahahhahaha hao si tigo promotion ya milio bomba hahahahahahahahaa

hakiyanani mwaka huu tutakoma mm nilikuta missed call no ya ajabu napiga haipokelewi nikarudia mara kibao ikapokelewa ila simsikiii wala nn vocha ikaisha nikakopa kupokea kumbe mteja nilimpa no the same day nilimkatia simu nikachukia sana hahahahah
reyro hatari sana na cjui watakapoanza kuita watu
 
yaan we acha tu hapa yeyote ataye nibip kama namba mpya nakimbia kununua vocha au nakopa daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah afu unashangaa miez miwil kazin Rais katengua ajira hakiyanani Naenda kwa KALUMANZIRA Ha ha ha ha ha noma sana
 
hatari na hapo hujaitwa sasa cjui utakapoitwa
 
Hahahah nyie watu wa Magufuli mnachekesha sana.. Eti mpaka simu unaenda nayo bafuni bwahahahahhaa.... Hivi kwani mmeshajua watachukua watu wangapi.?
 
Back
Top Bottom