TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaa mimi ni mdada bwana sio buraza hahaha

Nikuomba mungu tu hiv uko serious wamesema one month heeeee bas niendelee na kilimo changu
Samahani ati mweeh!!
 
Yan kuna kibabu kimekonaa maswali yake yote ni According to Income Tax Act....
 
duuuuu hiyo ni tax officer au zile mbili zilizo baki? hahaha nabahati sikuulizwa vya act but yote yalikua yanahusu videsa aiseeeee noma sana
 
itakua wewe ni wasambili asubuh nn maana sisi ni vilaza wa sa nane tukatoka sa tano za usiku
 
duuuuu hiyo ni tax officer au zile mbili zilizo baki? hahaha nabahati sikuulizwa vya act but yote yalikua yanahusu videsa aiseeeee noma sana
Hilo ni goma la Tax Officer. Kibabu ukikijibu kinakwambia hapa hapo hapo.....unajiona tayari chaliiiii
 
au ndo yule babu aliniuliza unaexpect mshahara kias gan kalikua kakongwe kwel na giza lile ha ha ha
 
Hiv mkuu kama ukisema currently wewe ni mfanyakazi somewhere sindo ushakosa kaz kabisa mm naogopa kwel mmmh
 
au ndo yule babu aliniuliza unaexpect mshahara kias gan kalikua kakongwe kwel na giza lile ha ha ha
Yeye huyo..Kulikua na Mama kushoto. Msela mweupe kulia alaf kati kati kikakaa Kikongwe kile kilichokua kinauliza mishahara..."We need figures" alisema.
 
ha ha ha ha bas mkuu tuliingia panel moja babu kati pemben white na mwanzon mmama anapekua vyeti hatareeeee tena akaniuliza sababu za tax avoidance hahahaha at least five point dadek
 
Naaaam, kibabu kimenikaanga na types of Assessment na yule mweupe sikumbuki mwaswali yake maana kiliuliza maswali ya videsa ambayo ni magumuuuuuu
 
Ha ha ha ha ha ha ha duuuh jamn mbona sikutegemea ayo maswali kabisa eti hii ya deploma tuliyo apply mwaka huu ule mwez wa pili wameshaita???
 
Naaaam, kibabu kimenikaanga na types of Assessment na yule mweupe sikumbuki mwaswali yake maana kiliuliza maswali ya videsa ambayo ni magumuuuuuu
mweupe aliuliza exempted na zero rate taxable supply afu uelezee application zake kwenye vat input xjui yani nilimkata jicho akacheka
 
afu maswal ni yale yale ndo mana watu walikaza hawakutajii maana wanahofu utafumua ukitajiwa
 
Naaaam, kibabu kimenikaanga na types of Assessment na yule mweupe sikumbuki mwaswali yake maana kiliuliza maswali ya videsa ambayo ni magumuuuuuu
nilimention types za assessment nilipofika yatatu babu akashtuka usingizini anasema explain each type aiseee mbona njaa yote ilikata hapohapo
 
Back
Top Bottom