chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,544
- 2,694
Tayari kimeshanuka Asante Mungu...
wewe nini tena mbona tunapaishana mioyooo uwiiii umepigiwa simu ama?Tayari kimeshanuka Asante Mungu...
hizi ni za bachelor tuliombaga zamani xjui mwez wa kumi kitu kama hichoJamn jman uwiiiiii mbona mi selew mniambie basi izi nafasi mnazoitwa now ni za lini plzzzzzzz plzzzzzz plzzzz
Chlorine Gas mungu hapendi...!!!.Tayari kimeshanuka Asante Mungu...
huyu jamaa ila mimi ninaaminigi mtu akimtaja Mungu bas huwa najua niukwel hongera mwayaChlorine Gas mungu hapendi...!!!.
Ijumaa tu kinuke leo, hata kuoza bado hakijaoza kinaanzaje kunuka??
Ahaaaaa oky sawa asanteeehizi ni za bachelor tuliombaga zamani xjui mwez wa kumi kitu kama hicho
Hahaaa haaaa, ni kweli enzi za Kikwete TRA palikua pazuri sana kimaslahi, huyu Magu amevuruga kabisa huwezi hata kua na vicontena vyako viwili vitatu vya kukusanyia kodi Bar?Kivipi mkuu tujuzane tusije tukaacha vibarua vyetu tukaruka mkojo tukakanyaga yale mambo ha ha ha
ha ha ha ha afu wewe kumbe unamanisha hakuna kuiba sisi twataka benefit za kihalali tu zitatosha bhanaHahaaa haaaa, ni kweli enzi za Kikwete TRA palikua pazuri sana kimaslahi, huyu Magu amevuruga kabisa huwezi hata kua na vicontena vyako viwili vitatu vya kukusanyia kodi Bar?
unashangaa ghafla katengua ajira yako utataman kulipuka hahahahahahaHuyu ndo magu baba
dah!" itakua tulikua panel moja, hicho kibabu kiliniuliza hat mimi hilo swali nikamwambia hilo hapanaa, cjui kama kuna aliolijb, ukichelewa kujibu anakwambia fanya fasta kuna wengine wanasubiri nje .............. kakaniuliza unaexpect mshara sh. ngap' nikawa nagoma kujb, wakanibana nikawatajia 900" we uliwaambia ngap?Yan kuna kibabu kimekonaa maswali yake yote ni According to Income Tax Act....
mi niliwaambia Mdah!" itakua tulikua panel moja, hicho kibabu kiliniuliza hat mimi hilo swali nikamwambia hilo hapanaa, cjui kama kuna aliolijb, ukichelewa kujibu anakwambia fanya fasta kuna wengine wanasubiri nje .............. kakaniuliza unaexpect mshara sh. ngap' nikawa nagoma kujb, wakanibana nikawatajia 900" we uliwaambia ngap?
mi niliwaambia M
REYRO basi wewe utakuwa ulimkonga nyoyo, ila fresh ngojea niendelee kuchoma mishkaki yangu maana huo kulikuwa na balaaha ha ha ha ha ha mimi wakanipa namaji yakunywa babu anasema kunywa maji uwe fresh akat yeye anarembua usingizi
ha ha ha ha acha kunifurahisha nimkonge wapi akati apo hajaanza kuuliza hata kijiswaliREYRO basi wewe utakuwa ulimkonga nyoyo, ila fresh ngojea niendelee kuchoma mishkaki yangu maana huo kulikuwa na balaa
ha ha ha mimi nikadhani wewe,uliwapiga sawa sawa, vp hv nyie hamkuulizwa mnataka muanze kufanya kazi lin?ha ha ha ha acha kunifurahisha nimkonge wapi akati apo hajaanza kuuliza hata kijiswali
Si waliuliza when will u b available? nikajibu ant time wakasema ok we shall contact u any time from now nikasepaha ha ha mimi nikadhani wewe,uliwapiga sawa sawa, vp hv nyie hamkuulizwa mnataka muanze kufanya kazi lin?