TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

NBAA...Saa Sita mchana ndio natoka saa hizi...Mavi matupu hawa watu
 
Mimi ni wa saa sita, nimeacha kama watu 80 wa batch ya saa nane hawajaanza. Dunia inaelekea Ukingoni na soon Sir Jesus atarudi. Tujiandae
Huku kuajiriwa huku! Kutatumaliza! J5 tulimaliza saa mbili usiku
 
Unamaliza interview usiku wa manane na bado kazi hupati
 
Siku zote wale wanaokuaga wa mwisho ndo wanaopata kazi maana ile panel inakuwa imechoka sana hivyo kuna max wanatoa tu.. Na ukiangalia na nyinyi uchovu wenu wanawapa priority fulani hivi....ombeni mungu .....
 
Kama kuna kaulweli vile...nilikuta mbabu ameshadumaa akili hataki bla blaa...anasema dogo mention tu hatuna muda wa It went It go
 
sijui wataanza kupiga lini maana mm waliniambia any time from that day mmmmmmmmmmmmh!!!
 
sijui wataanza kupiga lini maana mm waliniambia any time from that day mmmmmmmmmmmmh!!!
Blaza itakua uliyaweza yale madubwana..na jinsi walivyokua wakishambulia kwenda mbeleee....mimi walisema hivi "Ti ara ei will contact you within one month". Nikataka niulize nishapataaaa???
 
Blaza itakua uliyaweza yale madubwana..na jinsi walivyokua wakishambulia kwenda mbeleee....mimi walisema hivi "Ti ara ei will contact you within one month". Nikataka niulize nishapataaaa???
ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaa mimi ni mdada bwana sio buraza hahaha

Nikuomba mungu tu hiv uko serious wamesema one month heeeee bas niendelee na kilimo changu
 
Madubwana yale yamekaa kionevu kwa ambao hawajasoma tax kiundan kama watu wa uchumu aiseee haikua fair kivileee may b wata consider
 
Back
Top Bottom