wewe kula msuli tu wa darasaniIna maana hakuna aliyefanya interview ya oral jana na leo kwa watu wa custom na preventive? Njooni tumegeeni hata kidogo oral imekaa kiaje aje....
wewe kula msuli tu wa darasaniIna maana hakuna aliyefanya interview ya oral jana na leo kwa watu wa custom na preventive? Njooni tumegeeni hata kidogo oral imekaa kiaje aje....
we wanauliza kuhusu videsa tena? uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiwewe kula msuli tu wa darasani
Yani kabsa wametubania. Hata mimi nashangaa kwanini watu wako kimya. Isitoshe nafasi zetu ni tofauti kwahyo haimanishi wakitudokezea labda tutawazidi. Jamani tunaomba updates wale mulioenda interview jana na leo ili sisi wa kesho tujipange zaidi.jana
soma mambo ya darasani, na uwe confident, jua majukumu ya kazi unayoiombaYani kabsa wametubania. Hata mimi nashangaa kwanini watu wako kimya. Isitoshe nafasi zetu ni tofauti kwahyo haimanishi wakitudokezea labda tutawazidi. Jamani tunaomba updates wale mulioenda interview jana na leo ili sisi wa kesho tujipange zaidi.
hasa taxsoma mambo ya darasani, na uwe confident, jua majukumu ya kazi unayoiomba
Ahsante sana sana.soma mambo ya darasani, na uwe confident, jua majukumu ya kazi unayoiomba
haya bora yenu mna muda wa kujiandaa sisi goma lilitoka usiku na saa 2 unatakiwa interview, ila mapambano yanaendelea Mungu ndiye anaye juaAhsante sana sana.
Kabsa, hapo nikuendeleza tu mapambano ila huwezi jua ya Mungu mengi.haya bora yenu mna muda wa kujiandaa sisi goma lilitoka usiku na saa 2 unatakiwa interview, ila mapambano yanaendelea Mungu ndiye anaye jua
zipo kama pannel nne nadhani kutokana na wingi wenu wataongeza mjipe moyo Mungu ni mkuuIla nnajiuliza sisi tumeitwa 320 halafu wote ni kesho, nikipiga mahesabu naona kama watatumia kumu interview kila mmoja dakika 1.5 hivi kweli inawezekana au kuna panel nyingi sio moja.
Poa poa, ahsante.zipo kama pannel nne nadhani kutokana na wingi wenu wataongeza mjipe moyo Mungu ni mkuu
harafu hv huwa wanachukua muda gani kuita watu baada ya interview?Poa poa, ahsante.
BORA ww umetujibu maana ngachoka kusubirzipo kama pannel nne nadhani kutokana na wingi wenu wataongeza mjipe moyo Mungu ni mkuu
hapo sasa mwenyewe nilikutana na vitu ckutegemeaNina Bonge ra kitabu ra rashidi ra tax sijui hata nashika nini sheeenzi....
Asante kaka aisee ngoja niendelee kusongoka hapa huku nikinyoosha namna ya kulitema yai hiyo kesho.wewe kula msuli tu wa darasani
Naskia hua inachukua 2-4 weeks inategemea na waliopewa tender yakusimamia.harafu hv huwa wanachukua muda gani kuita watu baada ya interview?
ndio natoka kuhukumiwa usiku huu, tokea asubuhi hat sijakula manina zao hawa. cha msingi pigeni kitabu muijue tax na TRA .............. basiiiiiii.Nina Bonge ra kitabu ra rashidi ra tax sijui hata nashika nini sheeenzi....
Mungu akutangulie Mzee uwafumue fumue nawe uwe mmoja wa watakaopigiwa simu kuwa umedaka Job.ndio natoka kuhukumiwa usiku huu, tokea asubuhi hat sijakula manina zao hawa. cha msingi pigeni kitabu muijue tax na TRA .............. basiiiiiii.
Mungu akutangulie Mzee uwafumue fumue nawe uwe mmoja wa watakaopigiwa simu kuwa umedaka Job.
Tax ndeeeefu tunapambana hivyo hovyo.....
TRA tutakomaa nayo kuijua pia.
Asante mdau