TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

Daaah, namshukuru Mungu, nami nimo!.
Acha nienderee kura msuri japo niende kwanza pata juisi ya ndimu na vikababu pale rozana.
 
Hii interview itakua ya kiboya watu zaid ya 500 cku moja
 
Habari wadau, poleni na majukumu, hatimaye TRA wameanza kuita watu kwa usaili utakaofanyika tarehe 11 bunju Ilipo NBAA

Updates
Kwa wale waliokua na wasiwasi kuhusu barua tayari TRA wameishatuma kwenye email zenu angalieni

UPDATES KWA WALIOFANYA ASSISTANT PREVENTIVE NA ASSISSTANT CUSTOMS OFFICER
yametoka yameishatoka ntawawekea mda si mrefu
Nawatakieni kila la kheri wote waajiriwa watarajiwa wa TRA.
Sasa zile ndoto zenu za baba mama Na watoto(BMW) ziondoweni huko
Ni kazi kweli kweli.
Wateja waheshimiwe Na nyie mjiheshimu.
 
Nawatakieni kila la kheri wote waajiriwa watarajiwa wa TRA.
Sasa zile ndoto zenu za baba mama Na watoto(BMW) ziondoweni huko
Ni kazi kweli kweli.
Wateja waheshimiwe Na nyie mjiheshimu.
BMW ni hatari unaweza ukatumbuliwa mapema sana
 
Thank God namimi nimo. Ila marks nilizopata zimenitia hasira maana sijazoea kupitwa na watu wengi yaani wa kwanza ana 92 halafu mimi nna 60 akati kwenye cheti cha chuo ni 1st class....,. daah anyway lakini ngoja tukapambane kwenye hiyo oral na Mungu ajalie. Inshaaalah
 
walitumia gpa kuita kumbe mkuu
 
kwa wale waliofanya leo waje basi watiririke hapa.
 
Hivi wadau kwa anaejua, hizi interview za TRA hua zinakua ngapi? (kwa kifupi naomba kujuzwa baada ya oral interview hua nini kinafuata?)
 
Ina maana hakuna aliyefanya interview ya oral jana na leo kwa watu wa custom na preventive? Njooni tumegeeni hata kidogo oral imekaa kiaje aje....
 
Sina hakika na hizo post kwa sababu zilitoka baadaye, hizi walizoanza kuwapigia watu ni zile zinazo anza na assitant tax officer, assistant preventive officer, assistant customs officer hizi zilitoka mwaka jana
Hivi MISHAHARA YA TRA Kwa nafasi kama hizo ulizotaja wanalipaje?
 
Back
Top Bottom