Watu kama nyie ndio mnaowapa hawa watu encouragement ya kuonea watu na kuvunja sheria.
Taasisi na hata watu wanaofahamu accounting practice na sheria za kodi kila siku wanawabwaga kwenye mahakama za kodi na fidia wanalipwa, hayo makampuni ya kigeni ndio kabisa wakiwacheleweshea tax overpayments returns na interest wanawalipa kama sheria inavyotaka.
Wanawaonea watu kama nyie msiojua sheria na kutaka kila mtu abariki tabia za mijizi michache ndani ya hiyo taasisi inayotafuta rushwa kwa nguvu, eti usipotii utapeli utakoma huko ni kuhalalisha tabia zao mbaya.