ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 44,985
- 51,812
- Thread starter
- #21
Akiba hawezi pata ila on daily basis anapata.Hiyo hela ni kubwa sana hasa kwa bodaboda!
Kuna watu wanafunga mwaka hawana hata akiba ya 10000 na wamefanya kazi mwaka mzima.
Kuna sehemu tuliambiwa tulipe 3000 kwa mwezi huku uswahilini na bado watu hawapati hiyo hela, ambapo ni wastani wa shilingi 100 kwa siku.
Kuitoa 3000 kwa pamoja bila sababu zinazoeleweka ni ngumu sana kwa watu wa uchumi fulani.
Wamama wanalipa ushuru wa 200 Kila siku masokoni