Mapato hata yakiwa BILION 10,000 Yanafaida gani na sisi wavuja jasho?Leo ni tarehe 18 December 2016 lakini sijasikia TRA wamekusanya sh ngapi kwa mwezi november. Imekua ni kawaida kila mwanzoni mwa mwezi tunaambiwa kilichokusanywa mwezi wa nyuma yake. Aliyesikia TRA wakitangaza atuambie ni sh ngapi ilikusanywa
Yakizidi billion 700 bila editing magufuli anifunge kifungo cha maisha.
Hicho nacho ni chanzo cha mapato? Yaani kwenye Bajeti serikali inaweza kusema itarajia kupata trilioni 1 kwa kuchapisha noti ili kuziba naksi itakayokuwa imejitokeza?Serikali ina vyanzo vingi vya mapato.. Mapato yakipelea serikali inao uwezo wa kuchapisha hela na kuziingiza kwenye mzunguko ili kufidia nakisi...
Mapato ya chadema tunasomewa lini??
Makusanyo ya November 2015 na December 2015 uliyaona?Kwa ambao mnafanya kazi haswa kwenye makampun mauzo mwez wa nov na december huwa yanashuka sana labda uwe unafanya biashara ya vitu vinavyoendana na sikukuu lakin sekta nyingine zote mauzo hushuka sana ni kawaida na yanapanda taratibu had mwez wa pili hivi
Kweli. Hilo la heavy penalty ya magari chakavu liliambatana na laana. Ulikuwa ni uonevu uliotukuka. Sasa mwisho watanza kuweka kodi ya kichwa kama enzi za marehemu Sokoine.Inawezekana ni kweli Mkuu, maana TRA Wameahamaliza kukusanja viporo vyote vya magari chakavu na penalties zisizo nakichwa wala miguu, sasa wanakusanya Actual
Hahahaaaa
Hii tabia ya kuchukia mfanyabiashara na wakati huo unapenda uwe na kodi kubwa
Sasa hivi watahamia kwa wamiliki wa nyumba na ardhi. Eka moja penalty ni 100m, then watahamia shule za private heavy penalty...Inawezekana ni kweli Mkuu, maana TRA Wameahamaliza kukusanja viporo vyote vya magari chakavu na penalties zisizo nakichwa wala miguu, sasa wanakusanya Actual
Huwezi kusikia tena.... Na hapa bado hasa mapato ya serikali yanayotokana na faida ya mabenki.... Kwisha habari!!!!!
Huoni jina lakeHuwezi kusema jambo bila ya kuweka utoto ndani yake?
Sasa hivi watahamia kwa wamiliki wa nyumba na ardhi. Eka moja penalty ni 100m, then watahamia shule za private heavy penalty...
Leo ni tarehe 18 December 2016 lakini sijasikia TRA wamekusanya sh ngapi kwa mwezi november. Imekua ni kawaida kila mwanzoni mwa mwezi tunaambiwa kilichokusanywa mwezi wa nyuma yake. Aliyesikia TRA wakitangaza atuambie ni sh ngapi ilikusanywa
Mkuu kuhusiana na mabank, inategemea unaingalia ktk jicho gani, kama unaangalia pesa ya serikali ndani ya mabank ni investment, basi tumewin, na kama utaangalia kama sehemu ya kufanya na kuwapatia ma CEO wa mabank ulaji, na kufanya serikali malofa ya pesa ya wananchi, basi inabidi uikimbize, na hicho ndicho alichofanya Muheshimiwa lkn ukija kwenye maamuzi ya mwanzo, uko sawa na ukiangalia kwa upande wa maamuzi ya pili, pia uka sawa...
lakini maamuzi ya pili ni kama sehemu ya mafunzo kwa mabank na serikali, ijapokua ni slow process itaishia kwenye maamuzi ya mwanzo, kama investment, yaani kwa ufupi ni viscious cycle, ni slow to understand, lakini tutalielewa tu...
Sio utoto mkuu. Watoto hawana Sifa hizi chafu.Huwezi kusema jambo bila ya kuweka utoto ndani yake?
Kahtan anakusaidia wewe tu binti, hana njaa na vurugu zenu hizi za kuingoza. kahtaan ni specialist katika hospitali aliyolazwa muasisi wa chama chako hata kifo kikamkuta akiwa huko; Saint Thomas Hospital-London. Sasa jiulize kama specialist katika hospitali hiyo anaweza kuwa na njaa. Ni hali ya ubinaadam tu alionao hata anaona hali ilivyo huko home, lakini vinginevyo watu matawi ya juu sana humu.We
Maisha magumu kwako peke yako kwani mkeo akugawii buku ten ninayompa nikishamkanyaga