Entim
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 4,024
- 2,271
Sasa tatizo liko wapi wakitangaza?TAARIFA KUTOKA JIKONI NIKUWA MAPATO YAMESHUKA KWA 26% YA MAKADILIO YA NOVEMBER 2016 YA TRILON 1.1...WAMEKUSANY BILLION 896 TU.
Sasa tatizo liko wapi wakitangaza?TAARIFA KUTOKA JIKONI NIKUWA MAPATO YAMESHUKA KWA 26% YA MAKADILIO YA NOVEMBER 2016 YA TRILON 1.1...WAMEKUSANY BILLION 896 TU.
Wamekusanya madeni weeeeee....sasa yameisha....wakahamia kwenye magari (import taxi) weeeee sasa yameisha.....TAARIFA KUTOKA JIKONI NIKUWA MAPATO YAMESHUKA KWA 26% YA MAKADILIO YA NOVEMBER 2016 YA TRILON 1.1...WAMEKUSANY BILLION 896 TU.
TAARIFA KUTOKA JIKONI NIKUWA MAPATO YAMESHUKA KWA 26% YA MAKADILIO YA NOVEMBER 2016 YA TRILON 1.1...WAMEKUSANY BILLION 896 TU.
Kwani wafanyabiashala wa DRC si wameludi? Kwanini mapato yashuke?TAARIFA KUTOKA JIKONI NIKUWA MAPATO YAMESHUKA KWA 26% YA MAKADILIO YA NOVEMBER 2016 YA TRILON 1.1...WAMEKUSANY BILLION 896 TU.
Na wao wameanza kuisoma 666TAARIFA KUTOKA JIKONI NIKUWA MAPATO YAMESHUKA KWA 26% YA MAKADILIO YA NOVEMBER 2016 YA TRILON 1.1...WAMEKUSANY BILLION 896 TU.
Aisee nafikiri wewe shuleni ulikuwa unakuwa wa mwishoSerikali ina vyanzo vingi vya mapato.. Mapato yakipelea serikali inao uwezo wa kuchapisha hela na kuziingiza kwenye mzunguko ili kufidia nakisi...
Kwa ambao mnafanya kazi haswa kwenye makampun mauzo mwez wa nov na december huwa yanashuka sana labda uwe unafanya biashara ya vitu vinavyoendana na sikukuu lakin sekta nyingine zote mauzo hushuka sana ni kawaida na yanapanda taratibu had mwez wa pili hivi
Bodi imevunjwaLeo ni tarehe 18 December 2016 lakini sijasikia TRA wamekusanya sh ngapi kwa mwezi november. Imekua ni kawaida kila mwanzoni mwa mwezi tunaambiwa kilichokusanywa mwezi wa nyuma yake. Aliyesikia TRA wakitangaza atuambie ni sh ngapi ilikusanywa

Iyo ela unachapisha shilingi au dollar?Serikali ina vyanzo vingi vya mapato.. Mapato yakipelea serikali inao uwezo wa kuchapisha hela na kuziingiza kwenye mzunguko ili kufidia nakisi...
Duh! Kwa nini mkuu?Aisee nafikiri wewe shuleni ulikuwa unakuwa wa mwisho
na kama wewe ni mdudu basi wewe ni funza.
1. Comments za hovyo kama ya kwako ndizo zinazopelekea vyombo vya habari na social networks kufuatiliwa na kuchukuliwa hatuwa kama ya kushatikiwa au kufungiwa.Makusanyo ya Nov bado yanapikwa na TWAWEZA... then wayarudishe TRA ndio yatangazwe..
Vuta subira Mkuu.