IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,845
.. Kwa hiyo kwa kuwa yanashuka ndiyo iwachukue muda mrefu kuyaweka hadharani?Kwa ambao mnafanya kazi haswa kwenye makampun mauzo mwez wa nov na december huwa yanashuka sana labda uwe unafanya biashara ya vitu vinavyoendana na sikukuu lakin sekta nyingine zote mauzo hushuka sana ni kawaida na yanapanda taratibu had mwez wa pili hivi
