TRA na mapato ya November 2016

TRA na mapato ya November 2016

20162016

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
206
Reaction score
96
Leo ni tarehe 18 December 2016 lakini sijasikia TRA wamekusanya sh ngapi kwa mwezi november. Imekua ni kawaida kila mwanzoni mwa mwezi tunaambiwa kilichokusanywa mwezi wa nyuma yake. Aliyesikia TRA wakitangaza atuambie ni sh ngapi ilikusanywa
 
Mpaka wa analyse na misaada ya tetemeko ili wa include bila kusahau makusanyo ya trafik
 
Kwa ambao mnafanya kazi haswa kwenye makampun mauzo mwez wa nov na december huwa yanashuka sana labda uwe unafanya biashara ya vitu vinavyoendana na sikukuu lakin sekta nyingine zote mauzo hushuka sana ni kawaida na yanapanda taratibu had mwez wa pili hivi
 
Ukiona mpaka leo bado hawajatoa data basi ujue leo jumapili ya tarehe 18/12/2016 kuna watu watatumbuliwa
 
Kwa ambao mnafanya kazi haswa kwenye makampun mauzo mwez wa nov na december huwa yanashuka sana labda uwe unafanya biashara ya vitu vinavyoendana na sikukuu lakin sekta nyingine zote mauzo hushuka sana ni kawaida na yanapanda taratibu had mwez wa pili hivi
Tunajua hayo yote...haya twambieni mmekusanya bei gani??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom