TRA na mapato ya November 2016

TRA na mapato ya November 2016

Serikali ina vyanzo vingi vya mapato.. Mapato yakipelea serikali inao uwezo wa kuchapisha hela na kuziingiza kwenye mzunguko ili kufidia nakisi...
Yaani huo utakuwa upimbi utoe hela ukanunue hela ili uziongeze kwenye mzunguko kisa umekusanya chini ya matarajio sio kufikilia njia mbadala ya kuongeza mapato kwa siku nyingine za usoni if that happen Tanzania will no longer being in top of economics country
 
Well, you may be right in one way, ila nilichomaanisha ni deposits za wateja ambazo zinaleta faida kwa wateja ambazo at the end of the day zinatozwa kodi... Mfano mikopo inayotolewa kwa wateja... Mabenki mengi ya biashara kwasasa hayatoi mikopo kwa wateja kama zamani, take it from me. Hisa zilizowekwa katika mabenki kila zinapozaa faida hukatwa kodi, sasa kama faida hakuna then kodi hakuna, kama mikopo hakuna then 10% commission hakuna. You may now tell what i mean dude.

Nimekupata vyema tu, yaani ule mzunguko wa kibank haupo umeseeze seeze hivi, yaani kama gari linalopoteza mafuta mdogo mdogo, inamisi kuchoma mafuta kwa sana... nayo hilo si janga hilo?...lakini BOT watatuokoa, manake mapesa yapo kule yanasubiri wasaa kwa mfu atiwe drip...sasa sijui unaanza vipi na maiti..

on side note, mabank kama Stanbic na mengine ya nje, they are looking viciously to feel the void, kama tusipokua carefully running our incompetent bank to the grounds, yaani hivi sasa yako kwenye sort of survival mode, sasa sijui wana mipango gani kufikia wateja wapya, na streamlining the running cost, na bado sijaona watu kutolewa makazini...it may sound awakward but thats the only surviving chance, or wanacheza waiting game, just in case serikali ibadilishe mawazo, and they start pumping the money back to the commercial bank, The goverment start looking for the dwarf from the profit as partner rather than kutapeliwa kama hapo awali...
 
Serikali ina vyanzo vingi vya mapato.. Mapato yakipelea serikali inao uwezo wa kuchapisha hela na kuziingiza kwenye mzunguko ili kufidia nakisi...
Lengo langu ni kukupa darasa fupi la economics, Ni kweli kabisa serikari ya nchi yeyote ile inapokuwa na nakisi inaweza kuchapisha hela ili kufidia nakisi, lakini njia hii haitumiwi sana kwa sababu ni rahisi sana kupelekea mfumuko wa bei (inflation).
Nchi pekee ambayo inapokumbwa na nakisi huchapisha notes bila kuhofia athari za kiuchumi kama mfumuko wa bei ni USA.
 
Hatari ninayoiona mbeleni ni kitendo cha serikali kuamua public sector ifanye biashara na public sector tu! Naona kutakuwa na crisis kubwa
 
Serikali ina vyanzo vingi vya mapato.. Mapato yakipelea serikali inao uwezo wa kuchapisha hela na kuziingiza kwenye mzunguko ili kufidia nakisi...
makusanyo ya mapato na kuingizwa pesa mpya kwenye mzunguko wa fedha (money supply) ni vitu viwili tofauti. Usipotoshe.
 
Tuna subili tuone kwenye vikao vya chama zimetumika sh ngap alafu tutatangaza.vuteni subira wadau
 
Jana nikasikia simbachawene akiwaasa wakuu wa wilaya na mikoa waache kususa na kuwaacha machinga wakitapakaa hadi lango la ikulo kisa waliingiliwa na mkuu wa ikulo, aliwaambia wasikae kimya kama vile wamesusa bali wawatafutie maeneo yanayowafaa, sasa nikajiuliza hivi ni kweli wakuu wa mikoa wamesusa!!? Nikagundua kwamba inawezekana wamesusa make sasa hivi tangu watumbuliwe wanabodi TRA morali ya ukusanyaji imeshuka sasa wanamuachia akusanye mwenyewe atangaze mwenyewe, make mapato hamna na ukisema hamna unfukuzwa kazi saa tano usiku na saa saba usiku ameshateuliwa mwingine asubuhi ukienda ofisini unakuta mtu mwingine, so watu hawatakiwi kusema ukweli kuwa mapato hamna so wameamua kukaa kimya ili jamaa aamue atakavyo, nasikia wamechoka kupika data wameamua liwalo na liwe.
 
Siku Hizi Kila Mtu Mchumi Na Mtaalamu Wa Ndege
 
1. Comments za hovyo kama ya kwako ndizo zinazopelekea vyombo vya habari na social networks kufuatiliwa na kuchukuliwa hatuwa kama ya kushatikiwa au kufungiwa.
2. Maxence Mero yuko mahabusu kwa sababu ameamua kuwalinda users wake ikiwemo na wewe, lakini wewe hujifunzi kupitia tukio hilo, mbili kwa kuendelea kupost uzushi tafsiri yake ni kwamba huna huruma wala shukrani kwa kaka wa watu aliye jitoa sadaka kwa ajili yako.
Mimi ninachojua kelele za chura huwa hazimuzui punda kunywa maji, ila kwa nchi yetu awamu hii nasikia kelele zinazuia barabara au Sera nzuri zisitengenezwe
 
Leo ni tarehe 18 December 2016 lakini sijasikia TRA wamekusanya sh ngapi kwa mwezi november. Imekua ni kawaida kila mwanzoni mwa mwezi tunaambiwa kilichokusanywa mwezi wa nyuma yake. Aliyesikia TRA wakitangaza atuambie ni sh ngapi ilikusanywa
Wakusanyaji na watakwimu wako busy kujitayarisha kuitumbua X-mas.
Mapato ya siri-kali hayapungui, yanaongezeka na kuvuka malengo kila mwezi. Makusanyo na mapato ya mwezi November yanatosha kabisa kuwapa ruzuku majambazi na vibaka ili nchi na wananchi wapate amani na imani ya kusherehekea X-mas bila ya hofu ya kuwapata kama yaliyompata ndugu fulani.

Link Wakili Albert Msando akatwa katwa mapanga Dar

Dr. Mpango atayarishe vyanzo vingine vya mapato ili walalahoi watoboe mifuko. Kwa nini zile kodi alizopendekeza Mbunge Kessy hazifanyiwi kazi ili maisha ya kimalaika yatimie?

 
kwani mkuu unadhani wanashindwa kutangaza..
kwani wakisema wamekusanya trilioni 2 tutawabishia ?
hukumbuki sheni alipata kura elf 58 ccm wakatangaza laki 3..
Kweli mkuu kusema watasema lakini ukweli IPO pale pale bilioni za kikwete zikionekana na maisha yalikuwa mzuri kuliko matrillioni yanayokushanywa hamna lolote
 
Leo ni tarehe 18 December 2016 lakini sijasikia TRA wamekusanya sh ngapi kwa mwezi november. Imekua ni kawaida kila mwanzoni mwa mwezi tunaambiwa kilichokusanywa mwezi wa nyuma yake. Aliyesikia TRA wakitangaza atuambie ni sh ngapi ilikusanywa
TAARIFA KUTOKA JIKONI NIKUWA MAPATO YAMESHUKA KWA 26% YA MAKADILIO YA NOVEMBER 2016 YA TRILON 1.1...WAMEKUSANY BILLION 896 TU.
Niliweka Uzi Tarehe kama Nane Hivi December kuelezea kwamba mapato ya mwezi November yameshuka hadi karibu Bil 598,lakini Mods waliondoa Huo Uzi,Mods Hawajui kwamba Kule TRA wanaofanya kazi ni watu na wanatumia mitandao?
 
Walikuwa wanakusanya Madeni na yameisha.Mapato mapya hakuna tunarudi kulekule kwa. JK.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom