Hatari sana sheikhMakusanyo ya Nov bado yanapikwa na TWAWEZA... then wayarudishe TRA ndio yatangazwe..
Vuta subira Mkuu.

Siku ya ccm yakisomwa...Mapato ya chadema tunasomewa lini??
Ya ccm yameshasomwa? Au mnafuga vitambi tuMapato ya chadema tunasomewa lini??
Kwanini mapato yapungue ?MIMI HUWA NASHANGAA SANA KWANI MAPATO YANAPOPUNGUA ANAYEUMIA NI NANI?
NI MIMI MWANANCHI AU NI SERIKALI?
Then citizens and government are inseparable.MIMI HUWA NASHANGAA SANA KWANI MAPATO YANAPOPUNGUA ANAYEUMIA NI NANI?
NI MIMI MWANANCHI AU NI SERIKALI?
Acha uongo wako sasa hivi ndo bidhaa nyingi zinaingizwa nchini kwa ajiri ya sikukuu , na mauzo ni makubwa sana kwa sisiKwa ambao mnafanya kazi haswa kwenye makampun mauzo mwez wa nov na december huwa yanashuka sana labda uwe unafanya biashara ya vitu vinavyoendana na sikukuu lakin sekta nyingine zote mauzo hushuka sana ni kawaida na yanapanda taratibu had mwez wa pili hivi
Hats kama tutajazia na faini za barabarani,ole ni kwa madereva na bodabodaTAARIFA KUTOKA JIKONI NIKUWA MAPATO YAMESHUKA KWA 26% YA MAKADILIO YA NOVEMBER 2016 YA TRILON 1.1...WAMEKUSANY BILLION 896 TU.
Tunasubiri bodi mpya iundwe .Leo ni tarehe 18 December 2016 lakini sijasikia TRA wamekusanya sh ngapi kwa mwezi november. Imekua ni kawaida kila mwanzoni mwa mwezi tunaambiwa kilichokusanywa mwezi wa nyuma yake. Aliyesikia TRA wakitangaza atuambie ni sh ngapi ilikusanywa
Ahahahahahaha uyo zaid ya funza mzee tena kwa mtindo huu nadhan lumumba wote sawa na bwana yule miungu ya indiaAisee nafikiri wewe shuleni ulikuwa unakuwa wa mwisho
na kama wewe ni mdudu basi wewe ni funza.
Hahaha huu mchezoooo hauhitaji hasiraaaMungu hadhihakiwi kamwe, malipo yatakuwa hapa hapa duniani.
Hawana pa kutokea wakina nani? Au we sio Mtanzania, acha chuki bhanaArrears za kodi za nyuma zimeisha, wafanyabiashara ndio hao wamefunga business. Wamebaki wafanyakazi tu hawana pa kutokea ili kuachana na PAYE. Hayo ndio mapato ya serikali yaliyo na uhakika.
Acha umbea vinginevyo jela inakuhusu mda si mrefu.Makusanyo ya Nov bado yanapikwa na TWAWEZA... then wayarudishe TRA ndio yatangazwe..
Vuta subira Mkuu.