TRA: Kariakoo lazima EFD kwa wote

Tungeweza kuja na system kama India. Ambapo Wameweka System za Mauzo POS yenye Digital EFD (VFD) Ambayo inafaida nyingi na imeondoa changamoto na migogoro baina ya India Tax man na wafanya biashara.
 
Kuna mwaka mmoja TRA ilibuni mradi mmoja wa kufanya Watu kupenda Kudai Risiti za EFD wakiwa na furaha na Bashasha na walitangaza Ata Tender ili wafanye hilo, lakini alikufanyika japo Tender ilitangazwa na watu walibid- Inatakiwa wafufue hili , na lenyewe pia litaongeza ukusanyaji mapato
 
Ukusanyaji mapato Kariakoo mbali na Wengi kuwa Tayari , Technology ya EFD ya kutumia Data Connectivity kwa Line za Simu itaendelea kuwa Changamoto ambayo ni kero kwa wenye EFD,Network kupatikana wakati wa busy hours itaendelea kuwa kikwazo.TRA need to come up with plan B kama wanataka efectiveness in Tax Collection at Kariakoo area
 
Kwahyo nikikwepa kulipa kodi 2022, mwaka 2025 nisidaiwe ???
Wale hawakukwepa kodi bali alikuwa anafanya dhuluma akiona akaunti ya mtu imenona basi yeye na kikosi chake wanatafuta sababu ya kumuangushia jumba bovu ili wagawane zile pesa au kama hataki wanamfungulia kesi ya uhujumu uchumi.
 
Alichokuwa akifanya jiwe akiona akaunti ya mtu imenona basi mwenye hiyo akaunti atatafutiwa sababu ili aporwe hela zake na wengine,jamaa lilikuwa dhuluma na jizi hatari.
 
Wamegundua kosa lao?

Hata hivyo hangaya si alisema hataki kodi za dhuruma na kwamba anataka watu waachwe walipe kodi kwa hiari yao?
Nani atalipa kodi kwa hiyari yake? Hata huyo wa serikalini kodi huwa inafyekwa juu kwa juu lakini angeachiwa kulipa mwenyewe asingekwenda.
 
Dah hivi hii VFD inakuwaje?
Jaribu hii kutoka AMBWENE KONZO LIMITED inatumika zaidi ya miaka mitatu sasa


Unaweza pia tumia vifaa tofauti kulingana na mazingira yako

https://www.facebook.com/


https://www.facebook.com/
 
TRA wamesema yeyote afanyaye biashara Kariakoo amepewa siku 15 toka siku ya Tangazo awe na TIN na EFD
Bado wengi tu hawana, na hawatoi efd. Naona bii efd pengine hufatiliwa kwa wenye maduka makubwa sana. Ni kama hili jambo kwa kariakoo limeshindikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…