Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,149
- 190,641
Bashii jaman, me come dea!Ushaharibu uzi wa watuu
Bashii jaman, me come dea!Ushaharibu uzi wa watuu
Ungenambia mimi ningefunga bure kabisa, uwepo wako tu unanipigisha story😀Me nlilipia 20000 kufungiwa mkuu
Wewe chautundu wewe tulia basiii tujadili uziiiAkiyamungu nakwambia, do the needful
Hahah sikujua km na wewe ni fundi.Ungenambia mimi ningefunga bure kabisa, uwepo wako tu unanipigisha story😀
AyaaaWewe chautundu wewe tulia basiii tujadili uziii
Kuondoka ni ngumu kaka ila wacha nipambane tu hapa hapa, mnataka mlambe asali wenyewe 😀😀😀Ondoka Kariakoo.
Ntaftie chocho huko kkoo frem sitaweza labda ya kuchangia.Kuondoka ni ngumu kaka ila wacha nipambane tu hapa hapa, mnataka mlambe asali wenyewe 😀😀😀
Wengi wa wafanyabiashara hufanya hivyo.Mteja unaingia dukani unauliza bidhaa...unatajiwa bei...mfano mimi nilienda nunua chandarua cha mbu nkaambiwa bei ni 150000. Nikaomba nipunguziwe. Wakakubali kuniuzia 130000 ila kwenye mashine ya TRA wataandika 70000.
Au bila risiti unaambiwa utoe 100000. Kama mteja unayepambana na tozo unajua maamuzi yanayofuata.
Maamuzi yalikuwa siri yangu mwenyewe.
Ndk michezo ya kariakoo...Wengi wa wafanyabiashara hufanya hivyo.
Hii nimeulizia jana kariakoo wamembia 25000 au walitaka kunipiga
🤣🤣🤣🤣Hii nimeulizia jana kariakoo wamembia 25000 au walitaka kunipiga
Hivi wale wafanyakazi wanao fatilia risiti kariakoo wapo serious kweli na kazi kodi zetu zinalipwa kwa watu ambao hawako makini na kaziNdk michezo ya kariakoo...
tena wengine hata wakiuza bei juu bado risiti wanakuandikia ya pungufu na hela uliyotoa. Mteja yeye anachagua option ya nafuu kwake maana hayo mapato yakifika serikalini wanaoyafaidi direct ni wachache mno.
Ni hii🤣🤣🤣🤣
Labda waliiba mahali. Me menunua dukani bei ni hiyo. Au labda walikuonesha ile ya hema maana hii ina mfuko wake maalumu na vyuma vyake vya kufungia.
Wakiwa serious bei zitapanda mno hatutaweza nunua. Si unajua ishu ta tax incidence ambapo mzigo wa kufidia gharama anahamishiwa mteja??Hivi wale wafanyakazi wanao fatilia risiti kariakoo wapo serious kweli na kazi kodi zetu zinalipwa kwa watu ambao hawako makini na kazi
Tutakuondoa au ununue EFD/VFDKuondoka ni ngumu kaka ila wacha nipambane tu hapa hapa, mnataka mlambe asali wenyewe 😀😀😀
Bado umepata nafuu
Hivi wale wafanyakazi wanao fatilia risiti kariakoo wapo serious kweli na kazi kodi zetu zinalipwa kwa watu ambao hawako makini na kazi