MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,564
- 8,876
Kodi nazani inalipwa kadri unavyo uza na ndo lengo la.mashineTunakamuana kodi hadi sio poa
Kodi nazani inalipwa kadri unavyo uza na ndo lengo la.mashineTunakamuana kodi hadi sio poa
Kutumia mashine ni dhuruma? Unataka zile za kuandikwa kwa mkono sio? Zile za ujajanujanja?Wamegundua kosa lao?
Hata hivyo hangaya si alisema hataki kodi za dhuruma na kwamba anataka watu waachwe walipe kodi kwa hiari yao?
Tumia watajua kupitia hio mashineKama mauzo yangu hayafiki million 12 kwa mwaka wanalazimisha vipi nitumie mashine ya EFD
Kama huna biashara yenye mauzo ya 12m kwa mwaka unafanya nini huko Kkoo nenda kwenye maeneo ya biashara za mzunguko mdogo
Tumia watajua kupitia hio mashine
Hakuna sheria ya hivyo aisee, eti prime area. Ingekuahivyo kusingekuwa na machinga pale mtaa wa congo Wala wauza kashataNa sheria pia inasema ukiwa katika Prime Areas hilo suala litakubidi ufanye.
Utatumiaje ikiwa Sheria haikubani? Ni Bora waseme kila biashara hadi machinga nao wawe na EFD.Tumia watajua kupitia hio mashine
Badilisheni sheriaWatanzania tunapenda sana janjajanja, ukienda kwa Kagame hadi fundi viatu anatoa receipt ya electronic, Bongo wengi tunapenda kona kona sana
Alafu hela ikipatikana akina Mwigulu wakanunue Ma VXR ya mwaka 2022 moja tu thamqni yake ni 560 milioni? Hela ipo waache anasaNa elimu kwa wananchi itiliwe nguvu, wahamasishwe kutokukubali risiti ya kubebea mzigo (Kiasi cha risiti kiendane na pesa ya malipo)
Alitaka walipe kodi halali na halisi na sio zile za kuchomekewa kwamba sijui anadaiwa kodi za miaka mitano au kumi iliyopita hesabu zake zilipigwa chini ya kile alichotakiwa kulipa hivyo analazimishwa kulipa huku akaunti yake ya benki ikipigwa pin na kutishiwa kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi.
Hizo ndio Rais Samia alikataa.
Hadi wenye meza,umefanyika uchunguzi imebainika na hao wanafunga mauzo makubwa mno na faida lukuki wanapataMkuu hii ni kwa wenye maduka tu au hata wenye meza?
Mauzo ya 40,000 kwa siku yanafikisha 12,000,000 kwa siku 300Hadi wenye meza,umefanyika uchunguzi imebainika na hao wanafunga mauzo makubwa mno na faida lukuki wanapata
Hamia Somalia labdaTunalipa kodi halafu trillion 10 zinaenda kulipa mikopo ya wala urojo kule Zenji, mnaumwa kweli nyie..., hamko sawa kichwani
Sasa hivi ni 11m kwa mwaka..nadhani mwakani inaweza kua 10m au 9mKama mauzo yangu hayafiki million 12 kwa mwaka wanalazimisha vipi nitumie mashine ya EFD
Frame 500,000 na kuendelea halafu uuze chini ya 1m Kwa mwezi? Sio Kariakoo.Kkoo mbona Kuna biashara nyingi tu ambazo ni ndogo sana, na wanastahili kuwepo.
Sheria inasema chini ya mil 12(kabla ya mama ilikua chini ya mil 14) hawatahusika na efd machine,. Sasa Sheria ibadiloshwe Kama mnataka kila biasharaa itoe risiti
Naunga mkono hoja.Tangazo jipya limesisitiza kuwa kwa walio kariakoo EFD ni ya lazima, sio ombi kama zamani
Naunga mkono kila mfanyabiashara kutoa risiti ya efd, lakini tra wanapaswa kupunguza gharama ya mashine hizo wasizifanye kuwa biashara kwakuwa zinatumika kukusanya mapato ya serikali, au wazitoe bure kama wanavyopewa wakandarasi wa kuzoa taka na wale wa parkingNaunga mkono hoja.