Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,148
- 190,641
Mmh za kumeza godoro zile kama tent ama?Zile za kichina.
Mmh za kumeza godoro zile kama tent ama?Zile za kichina.
Chandarua cha mita ngapi hicho cha 150000 kama hutajali😂 unijuze
Za tent ni 15 to 20 tuuMmh za kumeza godoro zile kama tent ama?
Ilikuwa yaenda kwa contractors.Kwahio ile laki 8 alikuwa anachukua nani kipindi zinalalazimishwa watu wanunue?
Sawa nasema ikusanye report ya kilichokusanywa ili wote Tanzania tujue tumechanga bei gani serikalini ili wale wapuuzi wanapojisifia serikali imekusanya trillion 1 kumbe wamechukua 3 tuwe tunajua kabisa.Inaonesha kila ripoti ukitaka ya siku, mwezi, wiki yote unapata, pia ina option ya kusave risiti unazo toa
Mmh basi nikajua zile au unasemea net kama za vitanda vya hotel zile zenye mapazia 😂😂😂Za tent ni 15 to 20 tuu
Ndo hizo...sio za hotel mkuu...watu wanalalia majumbani mwao kama kawa. Sema ufungaji wake tu ndo unaita hadi fundiMmh basi nikajua zile au unasemea net kama za vitanda vya hotel zile zenye mapazia 😂😂😂
Nzuri kweli jamani naomba offer nije nilale hapo namie kwenye net ya laki 1 😍😍😍
Kweli kabisaHii ndio net nzuri ila watakiwa uwe na kitanda kikubwa haswaa
Lengo lao kubwa ni kuongeza tax baseSawa nasema ikusanye report ya kilichokusanywa ili wote Tanzania tujue tumechanga bei gani serikalini ili wale wapuuzi wanapojisifia serikali imekusanya trillion 1 kumbe wamechukua 3 tuwe tunajua kabisa.
Safi nimeiona hapo kweli bongo kama ulaya 😀Ndo hizo...sio za hotel mkuu...watu wanalalia majumbani mwao kama kawa. Sema ufungaji wake tu ndo unaita hadi fundi
Ondoka Kariakoo.Bado mie muuza boksa ukutani sipati hio faida kwa mwaka.
Acha basiiiNzuri kweli jamani naomba offer nije nilale hapo namie kwenye net ya laki 1 😍😍😍
Wanakuongezea kodi tena au wanapunguza?Lengo lao kubwa ni kuongeza tax base
Maana yake kila mwenye mauzo chini ya 11,000,000
Anatakiwa alipie kodi 100,000 kwa mwaka
Mashine yako ikivuka lengo wao wanakuongezea kodi hadi kufikia 3.5% ya mauzo yako
Kidogo tu mkuuSafi nimeiona hapo kweli bongo kama ulaya 😀
Af sitanii nipo serious mwenzio😍Acha basiii
Ushaanza
Ntakupisha hiyo siku ulale ila itabidi ulipie laki moja per night.Af sitanii nipo serious mwenzio😍
Wanakuongezea maana mashine yako itakuwa inapeleka data za mauzo yako kila siku, wewe watakiwa utengeneze hesabu ili ulipe kodi kidogo vinginevyo utalipa kubwa maana waweza jikuta mauzo yako ni zaidi ya 20mil kwa mwakaWanakuongezea kodi tena au wanapunguza?