Mtutuwandei
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 1,890
- 2,562
Utoe Z reportAaaah! Kwahiyo inabidi ubebe mashine huko uendako na uandike risiti feki ili wasifungie?
Utoe Z reportAaaah! Kwahiyo inabidi ubebe mashine huko uendako na uandike risiti feki ili wasifungie?
Tanzania haipo ulaya sasa ndugu, halafu yeye si alikuwa akiwaita mabeberu hao wazungu!Ulaya ukikwepa utadaiwa hata baada ya miaka 50
Kkoo mbona Kuna biashara nyingi tu ambazo ni ndogo sana, na wanastahili kuwepo.Kama hufikishi 12m Kwa mwaka ondoka Kariakoo.
Unaelewa maana ya "Wote"Mkuu hii ni kwa wenye maduka tu au hata wenye meza?
Mbona simu zinaharibika na bado unanunuaMbona wanasema sina matatizo ya kuharibika mara kwa mara? Au hyo changamoto imetatuliwa?

Hata anaetandika chini lazima alipe kodi kulingana na faida anayoipata hapo chini.Sheria inasema kodi watalipa wenye fremu sio mezawala watundikaji wa ukutani
Sasa wanasema vijana wajiajiri wakimaliza chuo alafu wanakutana na Mambo mengi kama haya,,yanakatisha tamaa kiukwelUnaelewa maana ya "Wote"
Kama huna biashara yenye mauzo ya 12m kwa mwaka unafanya nini huko Kkoo nenda kwenye maeneo ya biashara za mzunguko mdogoKama mauzo yangu hayafiki million 12 kwa mwaka wanalazimisha vipi nitumie mashine ya EFD
Kaanzie kwenye masoko madogo kariakoo ujr umeshakua kibiasharaSasa wanasema vijana wajiajiri wakimaliza chuo alafu wanakutana na Mambo mengi kama haya,,yanakatisha tamaa kiukwel
Kwa hiyo nasisi TUFANYE Kama ulayaUlaya ukikwepa utadaiwa hata baada ya miaka 50



Sasa wale wenye meza,na wanatundika ukutani wameshakuwa kibiashara?Kaanzie kwenye masoko madogo kariakoo ujr umeshakua kibiashara
Wameshakuwa wakubwa kabisa tangu vitambulisho vya machinga vianze sasa ni mwaka wa 3 so faida washaipata kama walikuwa na m12 sasa wana 20mSasa wale wenye meza,na wanatundika ukutani wameshakuwa kibiashara?



Wew itakuwa sio mfanyabiashara na haujui biasharaWameshakuwa wakubwa kabisa tangu vitambulisho vya machinga vianze sasa ni mwaka wa 3 so faida washaipata kama walikuwa na m12 sasa wana 20m
Huu mchezo hauhitaji hasira![]()
Hahaha... Hawaamini macho yaoTrillion Kwa mwezi wanaisikia tu.
Kkoo mbona Kuna biashara nyingi tu ambazo ni ndogo sana, na wanastahili kuwepo.
Sheria inasema chini ya mil 12(kabla ya mama ilikua chini ya mil 14) hawatahusika na efd machine,. Sasa Sheria ibadiloshwe Kama mnataka kila biasharaa itoe risiti
Watanzania tunapenda sana janjajanja, ukienda kwa Kagame hadi fundi viatu anatoa receipt ya electronic, Bongo wengi tunapenda kona kona sanaKwanini na yeye asifanye biashara tuone kama ni rahisi?