Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,148
- 190,643
Japo asali ni ya nyuki wakubwa ila wacha tukomae nayo tu asali ni asali kaka.😀😀😀 ntajaribu VFD tuTutakuondoa au ununue EFD/VFD
Japo asali ni ya nyuki wakubwa ila wacha tukomae nayo tu asali ni asali kaka.😀😀😀 ntajaribu VFD tuTutakuondoa au ununue EFD/VFD
PoaBashii jaman, me come dea!
Walishanikama si chini ya mara tatu au nne na jibu langu ni moja mzigo nimenunua kwa chiga hata kama nina box 📦 kubwa wananiacha.Nimegundua ikifika jioni wanapata chochote kitu kwa wenye madukani kariakooWakikukamata utajua wapo serious au wanatania..
Ndio maana kwa sasa wameweka lazima kila mtu awe na efd vinginevyo hama mjiniWalishanikama si chini ya mara tatu au nne na jibu langu ni moja mzigo nimenunua kwa chiga hata kama nina boxkubwa wananiacha.Nimegundua ikifika jioni wanapata chochote kitu kwa wenye madukani kariakoo
Wakiwa serious bei zitapanda mno hatutaweza nunua. Si unajua ishu ta tax incidence ambapo mzigo wa kufidia gharama anahamishiwa mteja??
Mwe mji hatuhami na kuwakwepa kama kawaida labla chinga wawe na risiti😁Ndio maana kwa sasa wameweka lazima kila mtu awe na efd vinginevyo hama mjini
Hio mbinu nzuri sana ntakuwa naishi nayo 😀😀😀Walishanikama si chini ya mara tatu au nne na jibu langu ni moja mzigo nimenunua kwa chiga hata kama nina box 📦 kubwa wananiacha.Nimegundua ikifika jioni wanapata chochote kitu kwa wenye madukani kariakoo
Mjini hatutahamaaa tutabanana humu humu.Mwe mji hatuhami na kuwakwepa kama kawaida labla chinga wawe na risiti😁
Na elimu kwa wananchi itiliwe nguvu, wahamasishwe kutokukubali risiti ya kubebea mzigo (Kiasi cha risiti kiendane na pesa ya malipo)
Hii VFD ni safi sana na inatibu matatizo mengi sana yaliyokua yakipigiwa kelele na watu kwenye EFD.Dah hivi hii VFD inakuwaje?
Kwahio una set kila bidhaa na bei yake individually? Sio ile unaweza ukachapa collectively tu kama "Hardware Items" 😀😀😀Hii VFD ni safi sana na inatibu matatizo mengi sana yaliyokua yakipigiwa kelele na watu kwenye EFD.
Hii inakua ni kama web based system ambayo unaweza kuitumia kwa simu janja ama computer na wewe muuzaji unakua na acount yako ambayo ndio imebeba taarifa zako.
Hiiutakua unaweka details za bidhaa unayouza details za mteja na namba yake ya simu au email kisha anatumiwa risiti hiyo. Kama utapenda print out za hardcopy basi unaweza kuunganisha na printer ndogo ya hizo karatasi za risiti na ukatoa risiti kama kawaida.
KWA NINI WAFANYABIASHARA WENGI HAWAZITAKI?
Hizi hazina janja janja za kudanganya kwenye records kama zilivyo hizi EFD ambapo muuzaji huweza kufanya cheating ya idadi /bei ya bidhaa. Pia kwenye EFD muuzaji huweza kufanya udanganyifu wa kutoa rusiti ya bei halisi lakini mashine isiweke records husika hivyo inakua ni rahisi kutoa risiti hewa.
NINACHOJIULIZA MIMI.
Serikali imeruhusu kutumika kwa huu mfumo lakini sioni hao TRA wakiupigia chapuo huu mfumo sijui ni kwanini , lakini kama serikali ikitaka ku'maximize hikihiki kidogo na hawa hawa wanaoiba basi huu mfumo ni sahihi kabisa maana upo smart na ni gharama nafuu kuutumia ukilinganisha na EFD.
Najua kwa watanzania tulivyo tutakuja kuulalamikia huu mfumo kuwa hatuna hela ya kununulia bando ili tuutumie😂😂😂😂.
Kiufupi ndio namna huu mfumo ulivyo, very smart, reliable and effective
😁😁Tatizo kodi zetu wananunulia veitiiiiHio mbinu nzuri sana ntakuwa naishi nayo 😀😀😀
Yap, unaandika kwa vile upendavyo, hata ukitaka kulist bidhaa kwa idadi yake inakubali. Kimsingi endapo serikali inataka kukusanya vizuri na kupunguza ujanja ujanja basi waweke shart hili kwa wateja wote wapyaa wanaohitaji EFD tutaona matunda yake. Ila nina wasiwasi kuwa wanufaika wa EFD wakakwamisha huu mfumoKwahio una set kila bidhaa na bei yake individually? Sio ile unaweza ukachapa collectively tu kama "Hardware Items" 😀😀😀
😁😁Tatizo kodi zetu wananunulia veitiiii
Sasa hapo anadhulumiwa?Wamegundua kosa lao?
Hata hivyo hangaya si alisema hataki kodi za dhuruma na kwamba anataka watu waachwe walipe kodi kwa hiari yao?
Machinga wanaruhusiwa kariakoo?Sheria inasema kodi watalipa wenye fremu sio mezawala watundikaji wa ukutani
Kwanini wasiruhusiwe?Machinga wanaruhusiwa kariakoo?
Alafu kila Jioni unatuma Z report TRA automatic.Wakati physical EFD kila siku Unatakiwa utume Z Report Manual.VFD ni cheap na inaweza wekwa ata kwenye Simu, kwa Wamachinga ni good solution kwani aina complications kama hizi physical EFDHii VFD ni safi sana na inatibu matatizo mengi sana yaliyokua yakipigiwa kelele na watu kwenye EFD.