hamtwice
New Member
- Apr 29, 2012
- 1
- 0
Serikali iangalie upya hili swala la mashine za efd inakuwa zinafikia kimoko ya ukishatoa jumla ya idadi za risiti Z reports 1850 hivi inakuwa kimoko inakuhitaji kuninua mashine nyingine ambayo ni si chini ya 570,000 tshs inaumiza sana kwa mfanyabiashara wa kawaida!