TRA: Kariakoo lazima EFD kwa wote

TRA: Kariakoo lazima EFD kwa wote

Alitaka walipe kodi halali na halisi na sio zile za kuchomekewa kwamba sijui anadaiwa kodi za miaka mitano au kumi iliyopita hesabu zake zilipigwa chini ya kile alichotakiwa kulipa hivyo analazimishwa kulipa huku akaunti yake ya benki ikipigwa pin na kutishiwa kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi.
Hizo ndio Rais Samia alikataa.
Kwahyo nikikwepa kulipa kodi 2022, mwaka 2025 nisidaiwe ???
 
Ntakupisha hiyo siku ulale ila itabidi ulipie laki moja per night.
Sasa kuna maana gani kama ntalala mwenyewe. Kuna mambo ntakuwa nakuuliza so lazma uwepo ata kwenye kochi pembeni
 
Kkoo mbona Kuna biashara nyingi tu ambazo ni ndogo sana, na wanastahili kuwepo.
Sheria inasema chini ya mil 12(kabla ya mama ilikua chini ya mil 14) hawatahusika na efd machine,. Sasa Sheria ibadiloshwe Kama mnataka kila biasharaa itoe risiti

Biashara gani ya fremu Kariakoo haifiki 12 kwa mwaka?
 
Wanakuongezea maana mashine yako itakuwa inapeleka data za mauzo yako kila siku, wewe watakiwa utengeneze hesabu ili ulipe kodi kidogo vinginevyo utalipa kubwa maana waweza jikuta mauzo yako ni zaidi ya 20mil kwa mwaka
Upishi wa data hauwezi kukwepeka, kuna jamaa nilikuwa namfungia hesabu zake za kampuni, ana malori yanapiga Transit Dar-Lubumbashi anapiga hela kwenda na kugeuka.

Safari anazopiga mauzo yanafika Twenty billions kwa Quater 1. Ina maana mzunguko wa mwaka anafikisha 90-100B ila kodi yake anayolipa sasa 😂😂😂! Tuendelee kujifukiza na kuvaa barakoa
 
Upishi wa data hauwezi kukwepeka
Ndio njia pekee inayoweza kukuokoa
Maana yake machinga lazima aombe risiti, aitunze na afanye filing ili ajiokoe kwenye kodi, akifanya hivyo wataokota, wasipofanya hivyo ni kilio
 
🤣🤣🤣🤣🤣huko hotelin wahudumu wanakaaga pembenii?
Extroo na ww
Hahahah hapo sio hotelini sasa ni makazi😍 mi ntalipa kiingilio cha laki 1 ila sharti uwepo karibu tu😍😍😍
 
Ndio njia pekee inayoweza kukuokoa
Maana yake machinga lazima aombe risiti, aitunze na afanye filing ili ajiokoe kwenye kodi, akifanya hivyo wataokota, wasipofanya hivyo ni kilio
Machinga ana elimu gani ya e-filing wawabane ili wahasibu tuishi nao tu 😀😀😀
 
Ndo hizo...sio za hotel mkuu...watu wanalalia majumbani mwao kama kawa. Sema ufungaji wake tu ndo unaita hadi fundi
Hapo sasa,mafundi huwa wanaondoka hata bila kulipwa PESA,huwa nawasihi wanaume wenzangu kua,inabidi unakua na kaujuzi flaniflani,mfano kama ujuzi wa kufunga neti,umeme,kuseti madishi n.k... Huwakosi.
 
Hapo sasa,mafundi huwa wanaondoka hata bila kulipwa PESA,huwa nawasihi wanaume wenzangu kua,inabidi unakua na kaujuzi flaniflani,mfano kama ujuzi wa kufunga neti,umeme,kuseti madishi n.k... Huwakosi.
Me nlilipia 20000 kufungiwa mkuu
 
Back
Top Bottom