FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,530
- 46,614
Ili iweje na hii ni nchi nyangu.., tutawekana sawa kwa maslahi ya taifaHamia Somalia labda
Ili iweje na hii ni nchi nyangu.., tutawekana sawa kwa maslahi ya taifaHamia Somalia labda
Tatizo hizo fedha zinatumikaje hata tukilipa kodi?Watanzania tunapenda sana janjajanja, ukienda kwa Kagame hadi fundi viatu anatoa receipt ya electronic, Bongo wengi tunapenda kona kona sana
Hahahah mmeamua kuishi naye kwa hiari Chief Hangaya😂 kama alivyosema. MsisumbuliweTrillion Kwa mwezi wanaisikia tu.
Sasa hivi kuna mfumo unaitwa VFD i guess huhitaji kununua hio mashine.Naunga mkono kila mfanyabiashara kutoa risiti ya efd, lakini tra wanapaswa kupunguza gharama ya mashine hizo wasizifanye kuwa biashara kwakuwa zinatumika kukusanya mapato ya serikali, au wazitoe bure kama wanavyopewa wakandarasi wa kuzoa taka na wale wa parking
Uzuri wangu i live by the book no matter who is in power. Tatizo tuko wachache sanaaaaaaaa!Hahahah mmeamua kuishi naye kwa hiari Chief Hangaya😂 kama alivyosema. Msisumbuliwe
Hamna anayependa janja janja ila kwa kuwa viongozi ndio waasisi wa hizo janja janja wacha nasie tuishi kwa mtindo huo huo.Watanzania tunapenda sana janjajanja, ukienda kwa Kagame hadi fundi viatu anatoa receipt ya electronic, Bongo wengi tunapenda kona kona sana
Hivyo ni safi hamna kuishi kwa hofu.Uzuri wangu i live by the book no matter who is in power. Tatizo tuko wachache sanaaaaaaaa!
Dah hivi hii VFD inakuwaje?Sasa hivi kuna mfumo unaitwa VFD i guess huhitaji kununua hio mashine.
Unaunganishwa na system ya TRA unaweza kutoa risiti kimtandao hata kwa kutumia simu, mteja unaweza kumtumia kwenye simu/ email au ukipenda unaprint. Kuna mtu anatangaza sana humu JF hio huduma. Mashine soon zinakuwa hazina kazi.Dah hivi hii VFD inakuwaje?
Haifosiwi, kwani sheria inasemaje ama ile sheria ya faida ya 12M kwa mwaka haitumiki tena?Hata anaetandika chini lazima alipe kodi kulingana na faida anayoipata hapo chini.
Chandarua cha mita ngapi hicho cha 150000 kama hutajali😂 unijuzeMteja unaingia dukani unauliza bidhaa...unatajiwa bei...mfano mimi nilienda nunua chandarua cha mbu nkaambiwa bei ni 150000. Nikaomba nipunguziwe. Wakakubali kuniuzia 130000 ila kwenye mashine ya TRA wataandika 70000.
Au bila risiti unaambiwa utoe 100000. Kama mteja unayepambana na tozo unajua maamuzi yanayofuata.
Maamuzi yalikuwa siri yangu mwenyewe.
TRA hawauzi EFD machineNaunga mkono kila mfanyabiashara kutoa risiti ya efd, lakini tra wanapaswa kupunguza gharama ya mashine hizo wasizifanye kuwa biashara kwakuwa zinatumika kukusanya mapato ya serikali, au wazitoe bure kama wanavyopewa wakandarasi wa kuzoa taka na wale wa parking
Bora hio ya kuunganisha na simu kuliko ile ya TRA machine. Wahakikishe pia hio VFD ituoneshe report ya makusanyo ya siku, week, mwezi kwa wote walio kwenye network.Unaunganishwa na system ya TRA unaweza kutoa risiti kimtandao hata kwa kutumia simu, mteja unaweza kumtumia kwenye simu/ email au ukipenda unaprint. Kuna mtu anatangaza sana humu JF hio huduma. Mashine soon zinakuwa hazina kazi.
Kwahio ile laki 8 alikuwa anachukua nani kipindi zinalalazimishwa watu wanunue?TRA hawauzi EFD machine
Zile za kichina.Chandarua cha mita ngapi hicho cha 150000 kama hutajali😂 unijuze
Bado mie muuza boksa ukutani sipati hio faida kwa mwaka.Wameshusha sasa ni mauzo ghafi yafikiayo 11mil, watakiwa uwe na EFD
Inaonesha kila ripoti ukitaka ya siku, mwezi, wiki yote unapata, pia ina option ya kusave risiti unazo toaBora hio ya kuunganisha na simu kuliko ile ya TRA machine. Wahakikishe pia hio VFD ituoneshe report ya makusanyo ya siku, week, mwezi kwa wote walio kwenye network.