Car4Sale Toyota Noah Roadtour namba C au D inahitajika

GAGL

JF-Expert Member
Aug 5, 2010
390
395
Kuna mtu anahitaji Toyota Noah, roadtour yenye namba C au D. Ana kianzio cha shilingi mil tano, nyingine atamalizia baadae.

Kama unayo au kuna mtu anayo anataka kuisukuma, tafadhali, weka namba zako hapa, utapigiwa simu.
 
Mimi ninayo etra limited ni number DR, mpyaaa.....injiji kinanda, inabeba watoto WA shule, nataka 13.5million, Mimi ndie mwenyewe
 
Back
Top Bottom