Inahitajika Toyota Noah new model

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Nahitaji Toyota Noah New Model ambayo haijawahi pata ajali, isiwe inadaiwa, isiwe imesha funguliwa gearbox. Namba iwe C a D Bajeti yangu mil6-6.9
 
Okkk.....ninayo noah old model....gari ya kazi, namba DR bado mpyaaa, ina miaka miwili Tu,tangu ingie bongo. Nataka 13.5 haina dalali hiyo...unaonana na mmiliki,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom