Toyota Brevis zina nini cha ziada?

Toyota Brevis zina nini cha ziada?

mshindane mtuletee marejesho kwa mnao tumia hizo gari. tujue ipi gari inambio
 
kwa hiyo kati ya mark x na brevis ipi inakimbia zaidi na ipi inadumu?
 
Kuna vipi vitatu lazima tuvielewe tunapoendesha magari,kwanza performance ya gari kwa jinsi ilivyotengenezwa,na hili linahusishwa na servise ya gari husika. Cha pili na muhimu ni uwezo wa mtu binafsi katika kuendesha gari,(mfano kuna watu wanatumia carina,premio na wengine wanatumia prado,alteza subaru lakini wanaotumia carina,premio ndio wanawahi kufika.) Hii nina maana kuwa hata kama gari ina performance gani kama ni muoga huwezi shindana na mtu ambaye si mwoga na ana gari ambayo performance yake ni ndogo. Cha mwisho ni uenyeji wa njia husika

Watu wengi hivi vigezo hawavijui na kubakia akisifia gari lake linakimbia sana,mfano mtu anaendesha Vitz,kisa kaipita GX110 kwenye kona ambapo dereva wake alikuwa muoga kupita kwa speed kubwa basi atakwambia GX 110 si chochote si lolote.Kitu kikubwa katika specification za gari ni kujua Horsepower ya gari na engine technolgy ndio kila kitu.
 
Hahahahah! Tofauti ni ndogo sana hisikutishe mzee 220hp na kwa 253 hp lakin jua kuwa brevis torque yake ni balaa mzee so tukiondoka mm yule kama rocket

Mkuu hauko serious, Brevis ni machine na inahama si kitoto, lakini kutaka kituaminisha kuwa ni zaidi ya Mark X ni kutaka kutuhadaa. Mark X ni bora kwa brevis kwa kila kitu mkuu. Hunikamati hata ukisimamia
 
Kama yaliyosemwa kuhusu hii BMW series 7 ni kweli ntaifanyia Kazi kwa mwakani. Yaani engine capacity kama Toyota brevis means inakimbia mbaya hata plate number husomi, I love that coz napenda race sana. Halafu fuel usage kama vits.... Hii itanifaa sana labda tuu ukija kwenye spear zake isijekuwa zina bei kama spea za Benz. Wacha nikaisake ila sasa mbona amesema ya kiume? Mie mwanamama haitanifaa kuendesha?

Ipe roho ile kitu inapenda Kasinde, kama ni ya kiume mbona haina Ndevu?
Go for BMW hutajuta
 
Last edited by a moderator:
Hahahahah! Tofauti ni ndogo sana hisikutishe mzee 220hp na kwa 253 hp lakin jua kuwa brevis torque yake ni balaa mzee so tukiondoka mm yule kama rocket

Kaka unaweza ukaondoka mwanzo kuliko Mark X lakini atakupita tu kwani atafikia speed kubwa kwa haraka kuliko wewe.

Mfano tu:
Wewe na brevis yako umechomoka fasta, mark x ukamuacha, lakini ukishafika 100 km/h unaanza kuona speedometer yako inatake time kufika 120, sasa yeye mark x anaikamata 120 mara moja na hapo ndipo utakua unasoma plate number yake. Ni mfano tu nafkr picha ushaipata... Usitisheke kuondoka mwanzo... Kuna factors zinachangia kuondoka mwanzo na kuchelewa, kama weight ya gari. Unafikiri kwenye drag race itakuaje ukieka yamaha 600 na brevis? Dakika sifuri tu ata plate number utapata shida kuisoma
 
Bmw ni fuel economy kuliko magari ya toyota, according to their data lita moja hadi kilomita 10, kisha kuna feature ambayo ikakufanya ukatumia liter moja kwa zaidi ya kilomita 10, mfano ukiwa katika trafic light umesimama, gari inajizima wenyewe, au ukiwa umesimama pahali ikiona imekaa sana inajizima gari. Lakini ukinunua Bimmer ujiweze, maana bei ya spea ni mahari ya mke, lakini kila kitu ni utunzaji, kwenye service ya kawaida uweke right oil, nafikiri wanakuwa na oil zao certified for bimmers, otherwise ukitumia Shalu ujitaarishe. Na km huna utunzaji utafilisika tu. Bimmer ni kiboko ya Saloon car, not overpriced at all.....
 
Samahani mkuu.
Maana halisi ya 'torque' ni nini?
Nimeisikia mara nyingi ila nimeshindwa kujua vizuri.
 
Ukiweka spea za BMW ni mkataba, hazitaki mambo ya kuungaunga. Ila ni gharama si kitoto.
Huihitaji services ya mara kwa mara kama magari ya toyota. Unaweza kufika hadi 15,000 km ukafanya service kubwa.
Ukiweka the right oil unaweza kutoboa hadi km 5000.
Magari mengi ya kijerumani hayataki kuungaunga. Litakusumbua.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Ipe roho ile kitu inapenda Kasinde, kama ni ya kiume mbona haina Ndevu?
Go for BMW hutajuta

Nilipanga BMW iwe ma first car ila nimeona nianze na Toyota aisee,

Ila lazima Beamer Boy nije kumiliki e92 ///M au ata X series
 
Last edited by a moderator:
Wote mbwembwe tu nga gari ni UDEREVA MM NIKIWA NA toyota Sprinter cc 1450 hiyo brevis hainifuati kabisa.

Hiyo sprinter yako utampita anayejifunzia brevis. Kuna engine sio za kuchezea utaburst
 
Kaka unaweza ukaondoka mwanzo kuliko Mark X lakini atakupita tu kwani atafikia speed kubwa kwa haraka kuliko wewe.

Mfano tu:
Wewe na brevis yako umechomoka fasta, mark x ukamuacha, lakini ukishafika 100 km/h unaanza kuona speedometer yako inatake time kufika 120, sasa yeye mark x anaikamata 120 mara moja na hapo ndipo utakua unasoma plate number yake. Ni mfano tu nafkr picha ushaipata... Usitisheke kuondoka mwanzo... Kuna factors zinachangia kuondoka mwanzo na kuchelewa, kama weight ya gari. Unafikiri kwenye drag race itakuaje ukieka yamaha 600 na brevis? Dakika sifuri tu ata plate number utapata shida kuisoma

Brevis ni mashine man nitakutafutia drag race ya Brevis na Mark X tumalize hubishi, lakin jua kama Mark x nizito sana tofaut na Brevis amabyo ni nyepesi, alafu kuhusu horsepower unakuta gari ina horsepower kubwa sana lakin hawezi mpata mwenye horsepower dongo,kuhusu gari kukimbia siyo horsepower tu kuna vitu vingi sana kama uzito wa gari,gear box yake ipoje na vingine vingi, kuhusu horse power tafuta gari linaitwa nissani gtr unakuta linahorsepower 650 lakini gari zinakujana horsepower 800 mpaka 900 hawakamati gtr, ndio gtr inapendawa sana usa na Europe ingawa ni gari ya japan
 
Samahani mkuu.
Maana halisi ya 'torque' ni nini?
Nimeisikia mara nyingi ila nimeshindwa kujua vizuri.

torque ni nguvu inayotumika kuzungusha mhimili, mfano nguvu inayotumika kuzungusha matair ya gari
 
Torque kubwa inamaana nguvu ni kubwa sio? And viceversa is also true.
 
Brevis ni mashine man nitakutafutia drag race ya Brevis na Mark X tumalize hubishi, lakin jua kama Mark x nizito sana tofaut na Brevis amabyo ni nyepesi, alafu kuhusu horsepower unakuta gari ina horsepower kubwa sana lakin hawezi mpata mwenye horsepower dongo,kuhusu gari kukimbia siyo horsepower tu kuna vitu vingi sana kama uzito wa gari,gear box yake ipoje na vingine vingi, kuhusu horse power tafuta gari linaitwa nissani gtr unakuta linahorsepower 650 lakini gari zinakujana horsepower 800 mpaka 900 hawakamati gtr, ndio gtr inapendawa sana usa na Europe ingawa ni gari ya japan

sasa gari nzito ndo inakimbia maana hiyo nyepesi ikifika speed 120 inayumbayumba wakati ile nzito itatulia barabarani
 
Kuna vipi vitatu lazima tuvielewe tunapoendesha magari,kwanza performance ya gari kwa jinsi ilivyotengenezwa,na hili linahusishwa na servise ya gari husika. Cha pili na muhimu ni uwezo wa mtu binafsi katika kuendesha gari,(mfano kuna watu wanatumia carina,premio na wengine wanatumia prado,alteza subaru lakini wanaotumia carina,premio ndio wanawahi kufika.) Hii nina maana kuwa hata kama gari ina performance gani kama ni muoga huwezi shindana na mtu ambaye si mwoga na ana gari ambayo performance yake ni ndogo. Cha mwisho ni uenyeji wa njia husika

Hapo umenena mkuu nna kapremio e kenye cc 1800 engen ya serial a ya mwisho yaani 7a fe ni balaa engen no kubwa wese inanusa kasi ya uhakika brevis,altezza,mark x,wanaloa tu.
 
ni ujinga wa kitanzania gari flan very basic cjui kwa nn wabongo wanashoboka bila sababu! ni baloon tu ya kawaida sema imeitwa brevis basi wabongo wanaona ni kitu cha maana sana!!!
 
Back
Top Bottom